Tetesi: Rais Dkt Magufuli kufanya ziara nchini China

Tetesi: Rais Dkt Magufuli kufanya ziara nchini China

Rais wa China aivyochaguliwa tu akafanya ziara Tanzania... Na sisi Rais wetu ziara za nchi za mbali anaanzia China..!

Mhhhuuu...!Ila tu tunahitaji uwazi kwenye hicho kitakachojadiliwa.
alianzia Rwanda
 
Kikwete ni
Inapumbaza na kukufanya usiwakatalie lolote watakalokwambia.
Kumbuka walimpa Kikwete U professa wa Heshima, matokeo yake leo hii Kariakoo kuna wachina wanarusha Mpesa Tigopesa na Kuchoma mahindi.
Tafakari
JPM sio Kikwete kama ambavyo JK hakuwa Mkapa.
 
Marekani na Yuropa wakisikia hivi, lazima warejeshe hela walizosusa kuzitoa.

Hawatakubali kuona mchina anapata influence kubwa namna hii ukanda huu.
Na ukitaka kupata influence kwa masikini, we mwaga mihela, utapendwajeee
This is very Pathetic.
Misaada including ya MCC imezuiliwa with a very Clear reason,uchaguzi wa Zenj na Cyber crime act.
Sasa Magu kwenda China ndio Solutions za hizo items mbili zitakuwa zimepatikana na Fedha za MCC kuachiliwa.
Think Big Mkuu.
Nimekudharau sana na ule uzi wako wa Makonda na Omba Omba.
That show your thinking Capacity
 
Kwa mujibu wa duru muhim ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mheshimiwa Rais anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini China baadae mwezi huu.
...Kama ni kweli, itakuwa vyema. Maana, hatukuonekana kule Jo'burg, na huu si muda wa kum snub mChina.

Katika ziara hiyo Pamoja na matukio mengine Mhe Raisi atashiriki mazungumzo na kusaini makubaliano mbalimbali juu ushirikiano wa China na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa.
...Reli ya kati inahitaji hela, tena ndefu!

...Safari ya Rwanda ilikuwa na mafanikio.
 
Marekani na Yuropa wakisikia hivi, lazima warejeshe hela walizosusa kuzitoa.

Hawatakubali kuona mchina anapata influence kubwa namna hii ukanda huu.
Na ukitaka kupata influence kwa masikini, we mwaga mihela, utapendwajeee

Mmarekani hawezi mkwepa kamwe, fikiria kwa kina hii Dunia inaenda wapi. China and all Asia countries ni plan B ya US, angalia all main financiers ni akina nani kuanzia kipindi kile cha Green Revolution.
Ukitaka kuchanganyikiwa zaidi fuatilia ni nani aliyemfadhiri Hitler na kwanini alimfadhiri.

Hii kitu ni cycle nchi masikini zinazunguka mulemule, kwa hali ilivyo sasa kujitoa kwa hao jamaa haiwezekani kamwe.
 
This is very Pathetic.
Misaada including ya MCC imezuiliwa with a very Clear reason,uchaguzi wa Zenj na Cyber crime act.
Sasa Magu kwenda China ndio Solutions za hizo items mbili zitakuwa zimepatikana na Fedha za MCC kuachiliwa.
Think Big Mkuu.
Nimekudharau sana na ule uzi wako wa Makonda na Omba Omba.
That show your thinking Capacity
Pole sana kwa kunidharau.....
 
This is very Pathetic.
Misaada including ya MCC imezuiliwa with a very Clear reason,uchaguzi wa Zenj na Cyber crime act.
Sasa Magu kwenda China ndio Solutions za hizo items mbili zitakuwa zimepatikana na Fedha za MCC kuachiliwa.
Think Big Mkuu.
Wewe ndo yakupasa u re Think Big ndugu na jinsi inavyoonyesha your still baby...
Kwa nini nasema haya, MCC kusitisha misaada yao kwa sababu ya uchaguzi ZNZ na sheria ya makosa ya mitandao .... Unavyoshabikia Mabwanyenye hao ... Unawafahamu? Mwl J. K Nyerere Enzi ya uhai wake alisema " tangu lini Chui akabadilika madoa yake" ? Think Big man
Nimekudharau sana na ule uzi wako wa Makonda na Omba Omba.
That show your thinking Capacity
 
Back
Top Bottom