Rais Dkt. Magufuli tuko katika Majonzi makubwa, lakini Kocha wa Yanga ametutukana Watanzania wote. Akamatwe upesi

Napata ukakasi na source ya audio clip ya wasafi! nmesikiliza radio zote kocha anawasifu mashabiki, isije ikawa wametulisha matango pori!
Kama Wasafi Radio wanaweza kurusha clip yenye matusi ktk kipindi chao...??!!! Basi hawana tofauti na mtoa post, wachukuliwe hatua za kinidhamu
 
We jamaa acha sound, labda kama kaongea kwa kibelgiji(kama kipo) au sauti imetengenezwa ila hata kama kala msuba hawezi kuongea hayo mambo kwa kingereza au kiswahili. Naamini ngumi zingetandikwa humo humo studio.
 
Clip ipo manara kaweka insta,ila kasema mashabiki wa yanga wanapiga kelele kama nyani
We jamaa acha sound, labda kama kaongea kwa kibelgiji(kama kipo) au sauti imetengenezwa ila hata kama kala msuba hawezi kuongea hayo mambo kwa kingereza au kiswahili. Naamini ngumi zingetandikwa humo humo studio.
 
Kawatukana nyie utopolo fans, usiseme watanzania wote jifunze kupunguza uchonganishi wa maneno
 
Aisee natamani nisikie hayo maneno huyu fala akisema upuuzi wake ungetuwekea hapa kama hiyo clip unayo.
 
Namba 3 na 6 kocha ametisha.
Nyani, Sokwe FC[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio ukweli....Ila Utopolo aka nyani,Sokwe wametutukanisha ,watuombe radhi!
 
Naona Yanga nao wamepata jina jipya mjini hapa Nyani na sokwe
 
Kama kasema yote hayo basi maadili hana, na hajasitarabika hata Kama aliona mapungufu ni bora angetafuta njia nyingine ya kufikisha ujumbe na sio matusi, mtu anayejitambua hawezi kusimama mbele ya chombo cha habari na kuongea namna hii, Sasa Kama anadai watanzania ni wapuuzi imekuaje akakubali kufanya kazi kwa waapuzi?? Inasikitisha sana
 
"Mashabiki wa Yanga mambumbu,hawana akili hawajasoma wanapiga kelele Kama nyani Wana mzomea yikpe wanabweka Kama mbwa"
 
Acha uongo amewadhalilisha Yanga tu sio watanzania wote Wala TFF na Simba
 
Alikuwa hajatujua mkuu
 
Sasa kama ID yako tu inasema ' Sijijui ' unadhani Sisi wenye Akili zetu timamu kabisa na zinazofanya Kazi tutaweza Kukujua Mpuuzi kama Wewe?
Mkuu sijijui ni jina tu Kama yalivyo majina mengine,watu wenye akili ndogo tu ndo huwa wanahangaika na kutafasiri majina ya watu,tukiacha hayo ya majina. Huyo kocha kasema ukweli ambao vilaza wengi huwa hawapendi kuusikia ndo maana badala ya kujitadhimini wao wanao kumkamata ndo soln.Mlitakiwa mjitadhimini Kwanza ili kujua why mnatukanwa,why mnaitwa hamna akili Wala elimu,Ila Kama unadhani soln ni kumkamata,huku mkitaka watu wa kuwapaka mafuta kwa kilemba cha ukoka mtatukanwa sana vilaza nyie
 
Hivi huwezi ukatulia na ukaandika vizuri ili wenye Akili tukakuelewa? Sasa hapa ndiyo umeandika nini? Huwa unahariri Kwanza kabla hujatuma?
Povu litakutoka sana mkuu,Ila ukweli ndo umeshasemwa
 
Kwahiyo hiyo #1 kwamba Sisi ni ' Wapuuzi ' umekubaliana nayo Mkuu? Kwahiyo na Wewe nae ni Mpuuzi na ndiyo maana umejibu pia Kipuuzi hivi?
Kwa mambo yanayotokea nchini mwetu ni wapuuzi wewe ulishuhudia mwamuzi alivyoharibu mechi ya yanga na kagera lakini mpaka ligi inaisha maamuzi hayajatolewa na sisi ndio tunaowaweka hao watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…