Hawaa walisubiri ligii iishe wamwondoer chrzeea mkwasaa weweNapata ukakasi na source ya audio clip ya wasafi! nmesikiliza radio zote kocha anawasifu mashabiki, isije ikawa wametulisha matango pori!
Hakuna ubaguzi wa aina yoyote hapo wajibu hoja
Ingawa kuna mengine aliyosema ni kweli hasa kuhusu Yanga lakini amevuka mipaka sana,naona kibarua chake kikiota nyasi,labda alishaona Yanga inamwacha akaona aporomoshe matusi aondoke zake
Yaani nchi na Raia wenzako wanatukanwa na mgeni, wewe unafurahia na ku promote kisa ushabiki wa Mpira.!Clip ipo manara kaweka insta,ila kasema mashabiki wa yanga wanapiga kelele kama nyani
. CCM inahusika vipi hapo kuwa mwelewa siyo unaongea 2Tungekuwa na elimu,tungekuwa na akili unadhani ccm ingetutawala for 60 good years? Hata hivyo viwanja vya kufugia mbwa ccm walijimilikisha na still wameshindwa kuvitunza?
Kwa ujumla if I can summary yote aliyosema ni kuwa.Watu wenye akili hawawezi kutawaliwa na CCM,watu wenye akili hawawezi wakaambiwa na mwanasiasa tena akiwa amejifungia kijijini kwake kuwa Covid_19 imeisha wanakubali kirahisi, kumuamini na Kisha kujiachia Kama wanavyofanya watanzania.