Rais Dkt. Magufuli tuko katika Majonzi makubwa, lakini Kocha wa Yanga ametutukana Watanzania wote. Akamatwe upesi

Rais Dkt. Magufuli tuko katika Majonzi makubwa, lakini Kocha wa Yanga ametutukana Watanzania wote. Akamatwe upesi

Napata ukakasi na source ya audio clip ya wasafi! nmesikiliza radio zote kocha anawasifu mashabiki, isije ikawa wametulisha matango pori!
Hawaa walisubiri ligii iishe wamwondoer chrzeea mkwasaa wewe
 
Mpeni stahiki zake aondoke tusiendelee. Porojo zaidi.
 
Amewaita nyani na mbwa badala ya Utopolo Kweli kwa hilo amefanya kosa kubwa.Nani kampa ruhusa ya kubadili jina la Utopolo?
 
Na nyie yanga kwanini mumpangie kocha jinsi ya kupanga kikosi?.mmejitakia
Ingawa kuna mengine aliyosema ni kweli hasa kuhusu Yanga lakini amevuka mipaka sana,naona kibarua chake kikiota nyasi,labda alishaona Yanga inamwacha akaona aporomoshe matusi aondoke zake
Screenshot_20200727-130106.jpg


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Clip ipo manara kaweka insta,ila kasema mashabiki wa yanga wanapiga kelele kama nyani
Yaani nchi na Raia wenzako wanatukanwa na mgeni, wewe unafurahia na ku promote kisa ushabiki wa Mpira.!
Huu ndio unyani wa watu weusi Sasa....
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tungekuwa na elimu,tungekuwa na akili unadhani ccm ingetutawala for 60 good years? Hata hivyo viwanja vya kufugia mbwa ccm walijimilikisha na still wameshindwa kuvitunza?

Kwa ujumla if I can summary yote aliyosema ni kuwa.Watu wenye akili hawawezi kutawaliwa na CCM,watu wenye akili hawawezi wakaambiwa na mwanasiasa tena akiwa amejifungia kijijini kwake kuwa Covid_19 imeisha wanakubali kirahisi, kumuamini na Kisha kujiachia Kama wanavyofanya watanzania.
. CCM inahusika vipi hapo kuwa mwelewa siyo unaongea 2
 
Back
Top Bottom