Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

View attachment 1643490
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020.
View attachment 1643462
Wiki kama Tatu hivi nikiwa katika 'Kijiwe' changu Kimoja nakumbuka niliwaambia wana Kijiwe Wenzangu kuwa kama kuna Mwanasiasa hapa nchini Tanzania na tena atokae 'Zanzibar Isles' ambaye wasipoteze muda Wao katika Kumuamini na hata Kumsikiliza kwakuwa ni 'Mnafiki' Mwandamizi ni Maalim Seif Sharif Hamad na kuwaambia kuwa akiteuliwa hiki Cheo hatokikataa ng'o kwani nae pia ana 'Njaa' na hatimaye Usiku huu imekuwa.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020.
View attachment 1643462

NOTA BENE:
Tanzania ni nchi yetu sote, tushirikiane kuijenga pamoja na uwepo wa tofauti za kiitikadi za kisiasa!

ACT-Wazalendo wameanza kwa matakwa ya kikatiba, natumaini na wengine watafuata!
Hii siyo habari
 
Kweli usiwaamini wanasiasa hata kama wakisema nje ni Giza, hakikisha unatoka nje kuhakikisha.
BTW hongera kwa Maalim Seif kwa kujiandaa kuzikwa kwa mizinga 21

Nategemea Mhe. Tundu Lissu atakubali uteuzi aliondaliwa na JPM

Bila unafiki Bongo hii hutoboi
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020.
View attachment 1643462

NOTA BENE:
Tanzania ni nchi yetu sote, tushirikiane kuijenga pamoja na uwepo wa tofauti za kiitikadi za kisiasa!

ACT-Wazalendo wameanza kwa matakwa ya kikatiba, natumaini na wengine watafuata!
ACT mmehalibu vibaya mno ,mnaenda au mnaelekea shimoni,sijui ila naona Zanzibar ya zambalau, mmeiyangusha Sana,
Mh seif namkubali ,ila Hapa either KWA baadhi ya wajumbe kupitia mlango wa nyuma mmemuingiza chaka,
 
Kazi kwa CHADEMA sasa; ACT inasonga mbele kisiasa wakati CHADEMA bado imejifungia chumbani.

Ingawa najua kuwa huu mwafaka ndiyo huwa lengo kuu la Sharif Hamad ili awena madaraka, akishyakosa ndipo anapoanzan kulalamika. Sasa hivi swala la "haki za binadamu" au "kuuwawa kwa raia wasikuwa na hatia" huo Zanzibar hutalisikia tena.
 
Back
Top Bottom