Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

ha ha ha ha ha subirini mapinduzi chini ya kamanda mboye
Atakua mboye na nani? Usijibebeshe imani kubwa hivyo kwa watu ambao wanawake wao wako bungeni
Jiulize kwanini hawatoi taarifa rasmi ya kuwafuta chama kwa taratibu na vyombo vinavyohusika
 
CCM - huyu mwanamke mnayembaka siku zote, akilalamika kuumia, nanyi mkafikiri huwa anaumia, kumbe ni malaya. Huwa anafurahia kitendo cha kubakwa. Kwa nini msiendelee kumbaka tu?
 
Kazi kwa CHADEMA sasa; ACT inasonga mbele kisiasa wakati CHADEMA bado imejifungia chumbani.

Ingawa najua kuwa huu mwafaka ndiyo huwa lengo kuu la Sharif Hamad ili awena madaraka, akishyakosa ndipo anapoanzan kulalamika. Sasa hivi swala la "haki za binadamu" au "kuuwawa kwa raia wasikuwa na hatia" huo Zanzibar hutalisikia tena.
Hujui upizani wa Wazanzibar we
Nyinyi mnajua upizani ni kama mchezo wa kuvuta kamba unavuta tuuu.
Mabadiliko yatakayo TOKEA znz hamtaamini macho na masikio yenu . Hizi ni karata zishachezwa tulieniiiiiii.?
 
Kwani mara ya kwanza hii kuwa na serikali ya CCM na Upinzani Zanzibar? Wee ota tu. Siasa nimewaachia wanasiasa tangu leo!
Hujui upizani wa Wazanzibar we
Nyinyi mnajua upizani ni kama mchezo wa kuvuta kamba unavuta tuuu.
Mabadiliko yatakayo TOKEA znz hamtaamini macho na masikio yenu . Hizi ni karata zishachezwa tulieniiiiiii.?
 
Atakua mboye na nani? Usijibebeshe imani kubwa hivyo kwa watu ambao wanawake wao wako bungeni
Jiulize kwanini hawatoi taarifa rasmi ya kuwafuta chama kwa taratibu na vyombo vinavyohusika
acha kuchekesha hao wanawake wa ndugai sasa kwanini aliwahaid kulinda? Eti wanawake wa mboye jaribu kuona hata aibu
 
Pongezi kwa CCM kwa ukomavu wa kisiasa, hongera ACT kwa kukubali kwamba maendeleo hayana chama
Tuliwaasa sana ndugu zetu kwamba hakuna upinzani Tanzania ila kuna wachumia tumbo na vibaraka wakatukatalia....... ila nadhani sasa wataelewa
View attachment 1643488
Mungu ibariki Tanzania
Wasingekuwa wachumia tumbo ulitaka waishi vipi? Chama kingeenda vipi?

ACT bado wanataka kudumu kwenye siasa na wamesoma upepo vizuri

Unanuna huna ela hata ya kutengeneza kipeperushi Inakusaidia nn?
 
acha kuchekesha hao wanawake wa ndugai sasa kwanini aliwahaid kulinda? Eti wanawake wa mboye jaribu kuona hata aibu
Kama ni wanawake wa ndugai kweli basi wanaume wa chadema wote ni marioo. Wanawatuma wanawake wao kutafuta pesa popote vyovyote na kuzifurahia bila wivu
 
Hujui upizani wa Wazanzibar we
Nyinyi mnajua upizani ni kama mchezo wa kuvuta kamba unavuta tuuu.
Mabadiliko yatakayo TOKEA znz hamtaamini macho na masikio yenu . Hizi ni karata zishachezwa tulieniiiiiii.?
Hamna lolote.

Lililotokea leo lilishatokea miaka kumi iliyopita, kwa hiyo hamna geni hapa. Hanada alichukia sana wakati Shein alimpomtupilia mbali kwenye uchaguzi wa 2015, na itatokea tena hivyo 2025; mark my word!
 
Kama ni wanawake wa ndugai kweli basi wanaume wa chadema wote ni marioo. Wanawatuma wanawake wao kutafuta pesa popote vyovyote na kuzifurahia bila wivu
mama naomba ulale usubiri ukombozi kutoka chadema ni usikuu sana huu
 
Pongezi kwa CCM kwa ukomavu wa kisiasa, hongera ACT kwa kukubali kwamba maendeleo hayana chama
Tuliwaasa sana ndugu zetu kwamba hakuna upinzani Tanzania ila kuna wachumia tumbo na vibaraka wakatukatalia....... ila nadhani sasa wataelewa
View attachment 1643488
Mungu ibariki Tanzania
Sasa mama D ukisema hakuna upinzani Tanzania una maanisha nini? 😄🤸‍♂️

Mimi nadhani upinzani upo na umekomaa kwa kukubali matokeo na kuchukua nafasi waliyosrahili. Huu ndio upinzani wa kweli, unakubali kushindwa ikiwa kweli umeshindwa kihalali na mnashikana mikono kujenga nchi.

Hongera ACT na Wazanzibari
 
Messages hizi kutoka kwa akina Mdee na Maalim Seif zitakuwa zimewafikia wale vibaraka wa mabeberu walioko huko ughaibuni. Tanzania tuko vizuri na amani tele. Siasa kwetu ni mchezo kama michezo mingine. Ni burudani kama ilivyo michezo mingine. Ugonvi hatutaki. Kwani nani anaweza kudai kwamba yeye ndiye ana akili kuliko watanzania wote millioni 60 na hivyo ndiye anastahili kuwa raisi wa hao watanzania?
 
Kwani mara ya kwanza hii kuwa na serikali ya CCM na Upinzani Zanzibar? Wee ota tu. Siasa nimewaachia wanasiasa tangu leo!
Na hicho ndio kinawakera wasio Itakia mema Zanzibar.
Government of National Unity (GNU)ni ya wazanzibar kwa ajili nchi ya Zanzibar.
Kuna kitu kikubwa kuliko nchi kwenye siasa nini hawakielewi.wazanzibar waliipigia jura kwa 66% Kuiweka kwenye katiba.
Tafuteni popcorn mleeeee na fursana. Wadanganyika hata Jina la nchi yao hawalijui eti tanzania bara....mazwazwa
 
Wasingekuwa wachumia tumbo ulitaka waishi vipi? Chama kingeenda vipi?

ACT bado wanataka kudumu kwenye siasa na wamesoma upepo vizuri

Unanuna huna ela hata ya kutengeneza kipeperushi Inakusaidia nn?

Muache kuwasema na kina halima sasa😅😅😅
 
mama naomba ulale usubiri ukombozi kutoka chadema ni usikuu sana huu
Yaani ukombozi wa wamama utoke Chadema wakati mnawaonea wivu wanawake na viti vyao 19 tena hamjawatafutia wametafuta wao kwa kupata hiyo asilimia majimboni.

Anyway, ninachoona miaka ijayo 2025 ACT inachukua nafasi ya Chadema.
 
Sasa tukafanye kazi. Tukutane tena 2025 huku tukiwa na uhakika CCM watajishindia saa 2 asubuhi.

Hongera zake Seif Shariff Hamad.
 
Afu bado mtu unaendelea kuwaamini wanasiasa wa Tanzania? Niacheni kidogo bora niandamane sababu ya mpira ila siyo siasa.
 
Back
Top Bottom