Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Who are you?
 
Ni yapi majukumu ya makamu wa kwanza wa rais?
 
Mzee Sasa hivi maisha safii[emoji16][emoji16].
ulinzi nini,nyumba nini.acha ale MAISHA.
Ila mzed usije ukajisahau wakumbuke WANANCHI wako wa Zanzibar.
Piga kazi kweli kweli.
Akitoka mwinyi UNAINGIA wewe.
 
Uchaguzi wa Zanzibar ulibidi ufanyike March 20/2021 ndio mwisho wa Miaka 5 ya Dr. Shein.Hili nalo vipi limekiuka katiba Sura ya 4. kifungu cha 2?
Kiukweli Dr. Shein Hakuwahi kabisa kujiuzulu rasmi, na muda wake ulikuwa bado kuisha ,kwa mujibu wa katiba, ni miaka 5,sasa uchaguzi ulifanyika mapema ,lakini raisi aliyepo bado hajamaliza muda wake na hakujiuzulu, Hii imekaaje?
Dr Sheni abadilishe na hii sehemu basi
 
Sijui lipumba ana Hali gani huko [emoji16][emoji16]
 
Movements za kweli za kudai haki huanzia kwa wananchi wenyewe na si hizi za kuitishwa na wanasiasa.
 
soon taarifa itakuwa "kamati kuu chadema yawasamehe Mdee na wenzake, waendelea na Ubunge wao kama kawaida,
Halafu kati ya makosa makubwa sana kwenye muundo wa CHADEMA ni kwenye hiyo nafasi ya Katibu Mkuu; yule jamaa anaongoza kwa makelele kuliko kuongoza kwa busara. Ni mwepesi kukimbilia kwenye maikrofoni badala ya kushughulika mambo kiutawala. Utadhani kuwa Katibu mkuu ndiye katibu mwenezi; yaani Tumani Makene yupo kama hana kazi tena kwa vile Mnyika ndiye kila kitu, halafu maamuzi yake mengi ni ya pupa sana.
 
Halafu mlitaka kina halima wasusie, hakuna mwenye uwezo wa kususia..hata Mbowe, Lissu na wenzake wangepata nafasi wasingesusa.
 

Umeniwahi boss nilichotaka kusema, japo ww umekisema kwa ubora zaidi ya ambavyo ningesema.
 

Uko sahihi kabisa boss, sasa fanya hivi, hebu anzisha chama chako tuje tuone utendaji bora. Au ni mambo ya motivational speaker?
 
Ulitaka tufanyaje sisi wananchi? Ulitaka tuandamane au? Mbona wao hawatoki wakat wa maandamo..mtu anasema tuingie road..kesho yako hata yy mwenyewe haonekani road..nenda kaandamane ww na familia yako.
 
Kweli kabisa na umenena vyema. Hakuna upinzani hapa Tanzania. Hao unaowasikia ni wachumia tumbo. Mnaokataa ukweli huu ni vibaraka wa Mabeberu.
 
Huo uchochezi,
Kwani wewe ulipoipigia CCM au Chadema ulipata nini zaidi ya kupigwa najua kwenye foleni?
Si tunakula rumba pamoja Kiaa.
Hii ndivyo siasa ilivyo, tuwapigania viongozi ,wafalme ili waendelee kuwa wakubwa kwa damu yetu sisi wanyonge , na wafia nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…