Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

1456109.jpg
 
Oooh hii taarifa ndo nimeiona leo, then nikakimbiza uzi hapa chap 🤔🤔 any way jf na loving journalist mko goood👏👏👏👏👊👊
 
Ooops! Mods samahanini kwa usumbufu!! Kumbe uzi umesha panda humu tangu jana na mr loving, any way futeni tu au muunge
 
Matakwa ya Katiba Yanakitaka Chama kilichoshika Nafasi ya Pili baada ya Uchaguzi ndani ya Siku 7 iwasilishe Jina La Atakae Kuwa Makamo wa kwanza wa Rais Lakini kwa bahati mbaya Chama cha ACT wazalendo kimevuka hizo siku kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar hivyo kwa kuwa jambo hapa ni Maslah Mapana ya Taifa inabidi hekma itumike ktk utekelezaji wake

Mh Rais wa Zanzibar atumie Busara ya kuitisha Baraza la wawakilishi na Kufanya mabadiliko ya Kifungu 39A(1) kuondosha siku 7 na kuweka maelezo kuwa chama kitakapo wasilisha vyenginevyo atakwendanda kinyume na matakwa ya Katiba

Kuhu wawakilishi haina Pingamizi na kuhusu Mawaziri Anapaswa kukipitia kifungu cha Katiba Na 66 Katiba ya Zanzibar hii Hata Uteuzi wa Juma Ali hatibu ikiwa kwa lengo la kuwa ametoka chama cha Upizani basi haikupaswa iwe vile hadi pale atapo vikusanya vyama vyote na kuchukuwa ushauri

Kila la Kheri Zanzibar Yenye Neema ni kwa wazanzinar na watanzania kwa ujumla
Inawezekana tukianza na sisi wote
 
Wanasiasa wana mahitaji yao.

Na sisi wananchi tuna mahitaji yetu.

Ila sasa sisi wananchi tumewatelekeza wanasiasa, wameamua kufanya yao.

Maana sisi pia tuko busy kufanya yetu, ukiachana kubwabwajaaaa tu hakuna jipya tunafanya.

Lissu nusra auawe, Mdude yuko Jela, Mawazo hatunaye, Mange anaogopa kuja.

Sisi tuko busy kula bata na kuwapa pesa na kuwapigania celebrities kwenye mishow ya Wasanii wasio na mchango wowote wa mageuzi.

Wabongo akili zetu tunazijua wenyewe, tunapenda kupewa vitu vizuri tukiwa tumekaa na kustarehe yaani.

Anyway,

Nadhani sasa ni kuisoma namba kikamilifu ili kila mtu sasa atoke ndani,lugha iwe moja!
 
Sijui kuwa ni lazima awe seif, nilifikiri ni nafasi ya kijana zaidi yake ili apate nafasi ya kuongoza ngome ya upinzani vizuri akiwa amejijenga na kuaminika zaidi.

Kwa seif hapo hamna kitu, nafasi hiyo alisha itumikia na haikusaidia kuleta utengamano wa kweli
 
Ukiamua kujitoa kupambania course fulani hutakiwi kuwa na excuses, unapambana huku ukiijua vizuri jamii yako ikoje. Siyo unapambana halafu usipofanikiwa unaanza kulaumu wananchi ni ujnga. Maana kwanza ulipoanza kutangaza sera za chama chako kwa wananchi, ulianza wewe kama wewe kuwafuata wananchi na kuwaaminisha kuwa wewe ndiye wa kuwatoa point moja kwenda ya pili iliyobora zaidi, siyo wananchi waliokufuata na kukwambia kuwa njoo utupiganie, yalikuwa ni maono yako binafsi. Sasa upo katikati ya struggle na huku tukiwa tunaenda vizuri isipokuwa inahitajika kuweka vitu fulani sawasawa unaanza kukata tamaa na kulaumu wananchi, kufanya hivyo ni kusaliti course yako mwenyewe!

Wananchi wameshawaamini wapinzani na ndiyo maana wanawapa kura nyingi tu ila wale majambazi wa kisiasa wanapora!

Sasa hapa Wapinzani wenye akili wanapaswa wajipongeze kuwa kwenye uwanja wa kisiasa tumeshaeleweka kwa wananchi, sasa tufanye nini twende hatua ya pili. Huo ndo uongozi!

Na mapambano siyo lazima ushinde pambano leo au mwakani au baada ya miaka 10 inaweza kuchukua hata miaka 50 lakini sharti ni. lazima usimamie misimamo ya msingi bila kuyumba na kwa kuvumilia tabu, na mateso.

Civil rights movement hawakupata mafanikio kwa struggle ya miaka 10 tu, waliendelea kupambana na kupambana mpaka wakapata nafuu kubwa. ANC haikumuangusha Kaburu kwa miaka 20, iliwachukua zaidi ya miaka 80 ya kupambana na kupambana. Wewe unafikiri ndani ya South Africa hakuna watu waliokuwa wakila bata kwa kushirikana na serikali ya Kikaburu, mfano ni Chief Mongustu Buthelezi wa chama cha Inkatha, lakini hii haikuwazuia akina Oliver Tambo kuendelea kupambana wakiwa in exile.

Kwa hiyo ukiona kingozi wa kisiasa eti anawakatia tamaa wananchi ambao kimsubgi waeshaonyesha kumuunga mkono kwenye sanduku la kura basi huy siyo kiongozi ni. mchumia tumbo!

Ukiwa kiongozi kweli utawaonyesha wananchi njia A, B, C za kuresist na uwe na subira wakati wakijiadapt kuzifuata hizo njia, usiwalazimishe maana vitu vingine vinakuwa ni vigeni kwao!

Kiongozi wa kweli hawezi kulaumu wananchi, wakati at the end of the day hata mshahara wake, au ruzuku ya chama chake, au uhalali wa uwepo wa chama chake msingi wake ni wananchi!
 
Pongezi kwa CCM kwa ukomavu wa kisiasa, hongera ACT kwa kukubali kwamba maendeleo hayana chama
Tuliwaasa sana ndugu zetu kwamba hakuna upinzani Tanzania ila kuna wachumia tumbo na vibaraka wakatukatalia....... ila nadhani sasa wataelewa
View attachment 1643488
Mungu ibariki Tanzania
Jambo moja hua tunasahau ni kua wananchi tuna maslahi yetu na wanasiasa wanamasilahi yao.Huku nje tunaweza chaniana mashati lakini wao wanakunywa mvinyo pamoja.Sudan Kusini wamepigana weeee mwisho Machar ameenda kunywa mvinyo kir.

Mwisho wa siku kunakitu hua kinaitwa 'AGENDA'hii hufichwa na wanasisa wote kwa wananchi.Pale tunapoachana wengine wanakunania hapo hapo. 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂
 
Sasa nimeamini masalia ya Sultani wa Zanzibar hayatakaa yaitawale Zanzibar milele...na ule usemi " Mapinduziiiiiiiii.........." nimeuelewa.
 
Wanasiasa wana mahitaji yao.

Na sisi wananchi tuna mahitaji yetu.

Ila sasa sisi wananchi tumewatelekeza wanasiasa, wameamua kufanya yao.

Maana sisi pia tuko busy kufanya yetu, ukiachana kubwabwajaaaa tu hakuna jipya tunafanya.

Lissu nusra auawe, Mdude yuko Jela, Mawazo hatunaye, Mange anaogopa kuja.

Sisi tuko busy kula bata na kuwapa pesa na kuwapigania celebrities kwenye mishow ya Wasanii wasio na mchango wowote wa mageuzi.

Wabongo akili zetu tunazijua wenyewe, tunapenda kupewa vitu vizuri tukiwa tumekaa na kustarehe yaani.

Anyway,

Nadhani sasa ni kuisoma namba kikamilifu ili kila mtu sasa atoke ndani,lugha iwe moja!
Kila mtu apambane na hali yake
 
Ukiamua kujitoa kupambania course fuani hutakiwi kuwa na excuses, unapambana huku ukiijua vizuri jamii yako ikoje. Siyo unapambana halafu usipofanikiwa unaanza kulaumu wananchi ni ujnga. Maana kwanza ulipoanza kutangaza sera za vhama chako kwa wananchi, uliwaaminisha kuwa wewe ndiye wa kuwatoa point moja kwenda ya pili iliyoboea zaidi!

Wananchi wameshawaamini wapinzani na ndiyo maana wanawapa kura nyingi tu ila wale majambazi wa kisiasa wanapora!

Sasa hapa Wapinzani wenye akili wanapaswa wajipongeze kuwa kwenye uwanja wa kisiasa tumeshaeleweka kwa wananchi, sasa tufanye nini twende hatua ya pili. Huo ndo uongozi!

Na mapambano siyo lazima ushinde pambano leo au mwakani au baada ya miaka 10 inaweza kuchukua hata miaka 50 lakini sharti ni. lazima usimamie misimamo ya msingi bila kuyumba na kwa kuvumilia tabu, na mateso.

Civil rights movement hawakupata mafanikio kwa struggle ya miaka 10 tu, waliendelea kupambana na kupambana mpaka wakapata nafuu kubwa. ANC haikumuangusha Kaburu kwa miaka 20, iliwachukua zaidi ya miaka 80 ya kupambana na kupambana. Wewe unafikiri ndani ya South Africa hakuna watu waliokuwa wakila bata kwa kushirikana na serikali ya Kikaburu, mfano ni Chief Mongustu Buthelezi wa chama cha Inkatha, lakini hii haikuwazuia akina Oliver Tambo kuendelea kupambana wakiwa in exile.

Kwa hiyo ukiona kingozi wa kisiasa eti anawakatia tamaa wananchi ambao kimsubgi waeshaonyesha kumuunga mkono kwenye sanduku la kura basi huy siyo kiongozi ni. mchumia tumbo!

Ukiwa kiongozi kweli utawaonyesha wananchi njia A, B, C za kuresist na uwe na subira wakati wakijiadapt kuzifuata hizo njia, usiwalazimishe maana vitu vingine vinakuwa ni vigeni kwao!

Kiongozi wa kweli hawezi kulaumu wananchi, wakati at the end of the day hata mshahara wake, au ruzuku ya chama chake, au uhalali wa uwepo wa chama chake msingi wake ni wananchi!
Mkuu Afrika Kusini kikuchpoatikana ni maridhiano tu kwamba kutakuwa na Rais mweusi na ubaguzi wa rangi usiwepo ila mambo mengine yote yako vile vile.

Makaburu ( licha ya uchache wao ) bado ndio yanamiliki uchumi na ardhi. Watu weusi ni manamba tu kwenye mashamba ya wazungu, domestic workers, na vibarua kwenye makampuni ya weupe.

Secondly, Kama Wananchi huwezi kuweka 💯 mahitaji yako kwa chama cha siasa, siku zote nwananchi unapaswa kuwa na mahitani yako ili umuunge mkono yule anayesamimamia hayo mahitaji kikamilifu.

Asipoiyasimamia unamtoa na kuweka anayayasimamia, hayo ndio mamlaka ya Mwananchi.

Huwezi kukasimu Will of the people kwa chama cha siasa then wewe ukakaa umerelax unagonga kwamba watamaliza kila kitu, utakuwa disappointed
 
Maalim Seif ni Nguruwe! Ni mtu Haramu kama alivyo Nguruwe!
Hahahahaha, chandimu bwana, bora Mnge muunga mkono mgombea wenu huko Zanzibar, mkajifanya kusaliti wanachama wenu kwa kumuunga mkono mgombea wa ACT, hiyo ndio karma, malipo hapahapa! Tatizo hamueleweki ndio maana wananchi hatukuunga mkono maandamano yenu!
 
Matakwa ya Katiba Yanakitaka Chama kilichoshika Nafasi ya Pili baada ya Uchaguzi ndani ya Siku 7 iwasilishe Jina La Atakae Kuwa Makamo wa kwanza wa Rais Lakini kwa bahati mbaya Chama cha ACT wazalendo kimevuka hizo siku kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar hivyo kwa kuwa jambo hapa ni Maslah Mapana ya Taifa inabidi hekma itumike ktk utekelezaji wake

Mh Rais wa Zanzibar atumie Busara ya kuitisha Baraza la wawakilishi na Kufanya mabadiliko ya Kifungu 39A(1) kuondosha siku 7 na kuweka maelezo kuwa chama kitakapo wasilisha vyenginevyo atakwendanda kinyume na matakwa ya Katiba

Kuhu wawakilishi haina Pingamizi na kuhusu Mawaziri Anapaswa kukipitia kifungu cha Katiba Na 66 Katiba ya Zanzibar hii Hata Uteuzi wa Juma Ali hatibu ikiwa kwa lengo la kuwa ametoka chama cha Upizani basi haikupaswa iwe vile hadi pale atapo vikusanya vyama vyote na kuchukuwa ushauri

Kila la Kheri Zanzibar Yenye Neema ni kwa wazanzinar na watanzania kwa ujumla
Inawezekana tukianza na sisi wote
Unaishi wapi na ww? mtu alishateuliwa toka jana wewe bado unaongea kama upo Oct!
 
Back
Top Bottom