Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu muumba atawalipia kisasi,hiyo ni kazi yake anayoifanya kwa wivu mkubwa.Wale ambao ndugu zao wameuwawa sijui wanajisikiaje.
Jambo moja hua tunasahau ni kua wananchi tuna maslahi yetu na wanasiasa wanamasilahi yao.Huku nje tunaweza chaniana mashati lakini wao wanakunywa mvinyo pamoja.Sudan Kusini wamepigana weeee mwisho Machar ameenda kunywa mvinyo kir.Pongezi kwa CCM kwa ukomavu wa kisiasa, hongera ACT kwa kukubali kwamba maendeleo hayana chama
Tuliwaasa sana ndugu zetu kwamba hakuna upinzani Tanzania ila kuna wachumia tumbo na vibaraka wakatukatalia....... ila nadhani sasa wataelewa
View attachment 1643488
Mungu ibariki Tanzania
Kila mtu apambane na hali yakeWanasiasa wana mahitaji yao.
Na sisi wananchi tuna mahitaji yetu.
Ila sasa sisi wananchi tumewatelekeza wanasiasa, wameamua kufanya yao.
Maana sisi pia tuko busy kufanya yetu, ukiachana kubwabwajaaaa tu hakuna jipya tunafanya.
Lissu nusra auawe, Mdude yuko Jela, Mawazo hatunaye, Mange anaogopa kuja.
Sisi tuko busy kula bata na kuwapa pesa na kuwapigania celebrities kwenye mishow ya Wasanii wasio na mchango wowote wa mageuzi.
Wabongo akili zetu tunazijua wenyewe, tunapenda kupewa vitu vizuri tukiwa tumekaa na kustarehe yaani.
Anyway,
Nadhani sasa ni kuisoma namba kikamilifu ili kila mtu sasa atoke ndani,lugha iwe moja!
Mkuu Afrika Kusini kikuchpoatikana ni maridhiano tu kwamba kutakuwa na Rais mweusi na ubaguzi wa rangi usiwepo ila mambo mengine yote yako vile vile.Ukiamua kujitoa kupambania course fuani hutakiwi kuwa na excuses, unapambana huku ukiijua vizuri jamii yako ikoje. Siyo unapambana halafu usipofanikiwa unaanza kulaumu wananchi ni ujnga. Maana kwanza ulipoanza kutangaza sera za vhama chako kwa wananchi, uliwaaminisha kuwa wewe ndiye wa kuwatoa point moja kwenda ya pili iliyoboea zaidi!
Wananchi wameshawaamini wapinzani na ndiyo maana wanawapa kura nyingi tu ila wale majambazi wa kisiasa wanapora!
Sasa hapa Wapinzani wenye akili wanapaswa wajipongeze kuwa kwenye uwanja wa kisiasa tumeshaeleweka kwa wananchi, sasa tufanye nini twende hatua ya pili. Huo ndo uongozi!
Na mapambano siyo lazima ushinde pambano leo au mwakani au baada ya miaka 10 inaweza kuchukua hata miaka 50 lakini sharti ni. lazima usimamie misimamo ya msingi bila kuyumba na kwa kuvumilia tabu, na mateso.
Civil rights movement hawakupata mafanikio kwa struggle ya miaka 10 tu, waliendelea kupambana na kupambana mpaka wakapata nafuu kubwa. ANC haikumuangusha Kaburu kwa miaka 20, iliwachukua zaidi ya miaka 80 ya kupambana na kupambana. Wewe unafikiri ndani ya South Africa hakuna watu waliokuwa wakila bata kwa kushirikana na serikali ya Kikaburu, mfano ni Chief Mongustu Buthelezi wa chama cha Inkatha, lakini hii haikuwazuia akina Oliver Tambo kuendelea kupambana wakiwa in exile.
Kwa hiyo ukiona kingozi wa kisiasa eti anawakatia tamaa wananchi ambao kimsubgi waeshaonyesha kumuunga mkono kwenye sanduku la kura basi huy siyo kiongozi ni. mchumia tumbo!
Ukiwa kiongozi kweli utawaonyesha wananchi njia A, B, C za kuresist na uwe na subira wakati wakijiadapt kuzifuata hizo njia, usiwalazimishe maana vitu vingine vinakuwa ni vigeni kwao!
Kiongozi wa kweli hawezi kulaumu wananchi, wakati at the end of the day hata mshahara wake, au ruzuku ya chama chake, au uhalali wa uwepo wa chama chake msingi wake ni wananchi!
actually is over 100 yrs....1899 mpaka mwaka 1994iliwachukua zaidi ya miaka 80 ya kupambana na kupambana.
Hahahahaha, chandimu bwana, bora Mnge muunga mkono mgombea wenu huko Zanzibar, mkajifanya kusaliti wanachama wenu kwa kumuunga mkono mgombea wa ACT, hiyo ndio karma, malipo hapahapa! Tatizo hamueleweki ndio maana wananchi hatukuunga mkono maandamano yenu!Maalim Seif ni Nguruwe! Ni mtu Haramu kama alivyo Nguruwe!
Jiandae kuweka orodha kubwa zaidi, maana hata mwaka mmoja tu baada ya uchaguzi hatujamaliza.Maalim Seif ni Nguruwe! Ni mtu Haramu kama alivyo Nguruwe!
Unaishi wapi na ww? mtu alishateuliwa toka jana wewe bado unaongea kama upo Oct!Matakwa ya Katiba Yanakitaka Chama kilichoshika Nafasi ya Pili baada ya Uchaguzi ndani ya Siku 7 iwasilishe Jina La Atakae Kuwa Makamo wa kwanza wa Rais Lakini kwa bahati mbaya Chama cha ACT wazalendo kimevuka hizo siku kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar hivyo kwa kuwa jambo hapa ni Maslah Mapana ya Taifa inabidi hekma itumike ktk utekelezaji wake
Mh Rais wa Zanzibar atumie Busara ya kuitisha Baraza la wawakilishi na Kufanya mabadiliko ya Kifungu 39A(1) kuondosha siku 7 na kuweka maelezo kuwa chama kitakapo wasilisha vyenginevyo atakwendanda kinyume na matakwa ya Katiba
Kuhu wawakilishi haina Pingamizi na kuhusu Mawaziri Anapaswa kukipitia kifungu cha Katiba Na 66 Katiba ya Zanzibar hii Hata Uteuzi wa Juma Ali hatibu ikiwa kwa lengo la kuwa ametoka chama cha Upizani basi haikupaswa iwe vile hadi pale atapo vikusanya vyama vyote na kuchukuwa ushauri
Kila la Kheri Zanzibar Yenye Neema ni kwa wazanzinar na watanzania kwa ujumla
Inawezekana tukianza na sisi wote