Naunga mkono hoja.
 
Kwa hiyo Rais akitoa vitambulisho tu ndiyo anakuwa Rais mzuri? Hebu kuwa serious. Kuna Mambo mengi na mhimu kuliko hata machinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2296]
Mambo ni mengi Pep
Afghanistan mnamuonea, alishasema huwa anapenda kuchungulia mitandaoni,

Afghanistan kutumia simu ni only 7 hrs tu kwa siku, ataupigaje mwingi sasa?
 
Kwa hiyo Rais akitoa vitambulisho tu ndiyo anakuwa Rais mzuri? Hebu kuwa serious. Kuna Mambo mengi na mhimu kuliko hata machinga
Hakuna jambo muhimu kama wapigakura wako
 
Wewe acha upotoshaji wa kijinga,hakuna machinga wanaofukuzwa,wanafukuzwa waende wapi? Wamachinga wanapangwa.vizuri wasiwe KERO Wala uchafu wa kuathiri shughuli zingine.

Namba 3 na 4 vimeigwa kutoka Bara.

Namba moja serikali ilishafuta au kushusha gharama za smartphone ila kwa kuwa.mda.wote unawaza Mbowe huwezi jua hili.

Kuhusu kushusha umeme , serikali sio tuu ilishusha umeme via REA bali ilisambaza Vijijini, unfortunately muitikio umekuwa mdogo Sana kiasi kwamba matarajio hayakufikiwa hivyo kuwa mzigo kwa Tanesco.

Kwa Sasa accessibility ya umeme ni kubwa ila connectivity ni ndogo Sana,licha ya kuweka sh.27,000 Huko Vijijini lakini kijiji kizima unakuta walio na umeme hawafiki 10..

Hivi hivi ukileta Mjini pia bado connectivity itakuwa ndogo hivyo Tanesco kubeba mzigo mkubwa,ni heri uwe na watu wachache ambao watalipa kibiashara inaleta tija kuliko kuwa na watu wengi ambao ni hasara.
 
Unatetea ujinga na wewe ni mjinga
 
Watanzania watu wa ajabu sana, unataka uungiwe umeme kwa elfu 27..gari ya Tanesco iwekwe mafuta, wafanyakazi walipwe na wewe utoe elfu 27..
Hivi ile remote feeder ya units yenyewe tu pesa ngapi?
Unashabikia upumbavu mwamba! Unafikri wafanyakazi wa TANESCO wanalipwa kutokana na hela ya kuunganisha umeme? Akili matope kabisa hii! Hivi unajua hiyo 27k ilikuwa mradi wa REA? Ambako Kuna hela inayokusanywa kutokana na manunuzi ya umeme wa LUKU!
 
Hajui kitu huyo jamaa
 
Zanzibar saiv wana maraisi wa 2

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Mimi kwakweli wote nawaona perfect SAMIA and MWINYI) hapa tumepata presidents, we are so proud kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…