Rais Eng. Hersi Said hili suala la kuweka kiingilio bure linaweza hujuma kubwa sana kwa Yanga. Vinginevyo jambo hili lifanyike

Najua masandawana tutawapakata ila sitaki kiwe na.mashabiki wa Simba angalau mia au mia mbili watakao washangilia hao Mamelody
Waziri ameshasema atakaeshangilia mamelodi ni kifungo
 
na wasiwasi mashabiki wa utoz wengi hawana hela ndio maana wameweka bure. ila watz wanapenda sana kitonga. pumbavu zenu
 
naingia na jezi ya Yanga alafu nashangilia Mamelody,Mame wakiona rangi ya njano wanajua shabiki wao,,,wanaongeza magoli,,,,😅🤸🤸🤸
 
Utopolo hovyo sana, mmekuwa kama ndumbaro tuu, yaani mlazimishe washabiki wa mnyama wavae kitopolo topolo?
 
Hizo nguvu za kurudi tena kwa Mkapa jumamosi watazitoa wapi,maana ijumaa wanakandwa then wanaenda kujifungia ndani wakisubiri Wanaume wao Yanga wawatoe kimasomaso.
Tukikandwa ijumaa,si ndo jmos tunakuja kumsapoti mwanetu mamelodi ili mfe nyingi bila,HUONI HILO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…