Rais Eng. Hersi Said hili suala la kuweka kiingilio bure linaweza hujuma kubwa sana kwa Yanga. Vinginevyo jambo hili lifanyike

Rais Eng. Hersi Said hili suala la kuweka kiingilio bure linaweza hujuma kubwa sana kwa Yanga. Vinginevyo jambo hili lifanyike

Najua masandawana tutawapakata ila sitaki kiwe na.mashabiki wa Simba angalau mia au mia mbili watakao washangilia hao Mamelody
Waziri ameshasema atakaeshangilia mamelodi ni kifungo
 
na wasiwasi mashabiki wa utoz wengi hawana hela ndio maana wameweka bure. ila watz wanapenda sana kitonga. pumbavu zenu
 
naingia na jezi ya Yanga alafu nashangilia Mamelody,Mame wakiona rangi ya njano wanajua shabiki wao,,,wanaongeza magoli,,,,😅🤸🤸🤸
 
Taarifa inasema kiingilio kwenye mechi yetu na Mamelody itakuwa bure Mzunguko.

Sababu za uongozi zina mashiko pasi na shaka yoyote. Kwanza mechi itachezwa usiku sana halafu pili ni mwezi mtukufu wa Ramadhwani etc.

But hatuoni kuwa Simba wanaweza kuingia pia uwanjani kwa wingi yakaja kuwa kama yale ya Yanga vs T.P mazembe miaka kadhaa iliyo pita ambapo mechi iliwekwa bure mzunguko Simba wakajaa na kuwashangilia sana Mazembe kama wapo nyumbani vile.

Tunajua Yanga hawawezi kutikiswa na kushangiliwa kwa wapinzani wao lakini mcheza kwao hutuzwa bana lazima tuzingatie hilo.

Tunaomba uwekwe utaratibu kwamba siku hiyo iwe hakuna kuingia uwanjani kama hauna jezi ya Yanga...

No jezi ya Yanga no entrance.
Utopolo hovyo sana, mmekuwa kama ndumbaro tuu, yaani mlazimishe washabiki wa mnyama wavae kitopolo topolo?
 
Hizo nguvu za kurudi tena kwa Mkapa jumamosi watazitoa wapi,maana ijumaa wanakandwa then wanaenda kujifungia ndani wakisubiri Wanaume wao Yanga wawatoe kimasomaso.
Tukikandwa ijumaa,si ndo jmos tunakuja kumsapoti mwanetu mamelodi ili mfe nyingi bila,HUONI HILO?
 
Back
Top Bottom