Wanaishia kubweka tu. Waingie kama ni wanaume.Hali ndani ya Gaza imeelezwa kuwa ni balaa na machafuko huku majeshi ya Israel yakiwa yameingia kikamilifu eneo hilo na askari wa IDF wakipigana na watu mpaka kwenye kambi za wakimbizi.
Katika hali ya machafuko kiasi hicho raisi wa Uturuki ameiambia Israel isitishe vita mara moja.Raisi wa Misri kwa upande wake ameliambia taifa hilo lifungue mpaka wa Rafah misaada ipitie bila vizuizi.
Machafuko hayo yanatokea huku huduma zote muhimu jimboni humo zikiwa zimekatwa kwa zaidi ya wiki sasa.
😄 🤣 utafikiri wanapigana China na RussiaHiyo Gaza inayolingana na Wilaya ya Kinondoni leo wiki ya Tatu bado hawajaimaliza tu?
Naona kama hii vita ni kali mitandao ya social media kuliko Uhalisia.
Mkuu si ulisema israel hawatoweza kuingia Gaza au????Hali ndani ya Gaza imeelezwa kuwa ni balaa na machafuko huku majeshi ya Israel yakiwa yameingia kikamilifu eneo hilo na askari wa IDF wakipigana na watu mpaka kwenye kambi za wakimbizi.
Katika hali ya machafuko kiasi hicho raisi wa Uturuki ameiambia Israel isitishe vita mara moja. Raisi wa Misri kwa upande wake ameliambia taifa hilo lifungue mpaka wa Rafah misaada ipitie bila vizuizi.
Machafuko hayo yanatokea huku huduma zote muhimu jimboni humo zikiwa zimekatwa kwa zaidi ya wiki sasa.
Upande wa kaskazini mpakani na Lebanon urushaji wa makombora kutoka wanamgambo wa HizbuLah nao unaongezeka kila muda unavyosonga.
Angalia al jazeera mkuu uoneUsiwe na haraka.Omba dua tu.
Mkuu upo wapi ???Wanaishia kubweka tu. Waingie kama ni wanaume.
Hivi alikujibu hiiMkuu si ulisema israel hawatoweza kuingia Gaza au????
Vipi hapo walipoingia ni wapi
Bora wao hata tunawaona uwanja wa vita,sisi hapa kwetu Panya Road tu huwa wanatulaza saa kumi na mbili jioni wakiamua kufunga mtaaWanaishia kubweka tu. Waingie kama ni wanaume.
Amekimbia mkuu na amebadili mada 🤣🤣Hivi alikujibu hii
Edorgan yeye ameacha kuua waislamu wakurdi????.Hali ndani ya Gaza imeelezwa kuwa ni balaa na machafuko huku majeshi ya Israel yakiwa yameingia kikamilifu eneo hilo na askari wa IDF wakipigana na watu mpaka kwenye kambi za wakimbizi.
Katika hali ya machafuko kiasi hicho raisi wa Uturuki ameiambia Israel isitishe vita mara moja. Raisi wa Misri kwa upande wake ameliambia taifa hilo lifungue mpaka wa Rafah misaada ipitie bila vizuizi.
Machafuko hayo yanatokea huku huduma zote muhimu jimboni humo zikiwa zimekatwa kwa zaidi ya wiki sasa.
Upande wa kaskazini mpakani na Lebanon urushaji wa makombora kutoka wanamgambo wa HizbuLah nao unaongezeka kila muda unavyosonga.
Hahaha hatari hiiAmekimbia mkuu na amebadili mada 🤣🤣
HahahaaBora wao hata tunawaona uwanja wa vita,sisi hapa kwetu Panya Road tu huwa wanatulaza saa kumi na mbili jioni wakiamua kufunga mtaa
peleka mdomo kuleHiyo Gaza inayolingana na Wilaya ya Kinondoni leo wiki ya Tatu bado hawajaimaliza tu?
Naona kama hii vita ni kali mitandao ya social media kuliko Uhalisia.