Watalalamika chawa ndo kama hivi sasaKwani makamu mwenyewe kalalamika...?
Siku hizi kuna technology dinia imekua kijiji popote unaweza akasaini barua na kufanya mawasiliano sio kile kipindi cha 1977 wakati katiba inategenezwa, kazi ya makamu wa raisi siku hizi ni kutembelea ni kuzindua miradi ya serikali kwa niamba ya raisi uko mawolayani.Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Si hilo tu, hata baadhi ya mikutano nje ya Nchi, Rais tunaona anawakilishwa na Rais wa nchi jirani, Zanzibar! (Majuzi alikuwa Cuba)Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Sometimes huwa ni matakwa au masharti ya Mganga wa Kienyeji hivyo kuwa Mvumilivu tu Kiongozi sawa?Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Ali sign before hajaondoka🤐Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Kipindi cha Kikwete Makamu wake Dr. Bilal alionekana kazi yake kuu ni kukata utepe wakashauri awe anatembea na mkasi mfukoni.Siku hizi kuna technology dinia imekua kijiji popote unaweza akasaini barua na kufanya mawasiliano sio kile kipindi cha 1977 wakati katiba inategenezwa, kazi ya makamu wa raisi siku hizi ni kutembelea ni kuzindua miradi ya serikali kwa niamba ya raisi uko mawolayani.
Kuna ya juzi address ni ya Doha.Ali sign before hajaondoka🤐
Mkuu sio mamlaka yote hukasimishwa.Mahali ikitajwa Rais ni Rais labda yeye ampe mtu mwingine hayo mamlaka for specific reasons.Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Kuna wanaosema makamu anatembea na mkasi kwenye begi[emoji16]Siku hizi kuna technology dinia imekua kijiji popote unaweza akasaini barua na kufanya mawasiliano sio kile kipindi cha 1977 wakati katiba inategenezwa, kazi ya makamu wa raisi siku hizi ni kutembelea ni kuzindua miradi ya serikali kwa niamba ya raisi uko mawolayani.
Zingatia takwa la sheria"km Rais hayupo"Kwani makamu mwenyewe kalalamika...?
Hahaha ndo hizo kazi zake hahahaha.Kuna wanaosema makamu anatembea na mkasi kwenye begi[emoji16]
Makamu kazi yake kama hii ya leo kupokea ndege!Siku hizi kuna technology dinia imekua kijiji popote unaweza akasaini barua na kufanya mawasiliano sio kile kipindi cha 1977 wakati katiba inategenezwa, kazi ya makamu wa raisi siku hizi ni kutembelea ni kuzindua miradi ya serikali kwa niamba ya raisi uko mawolayani.