Rais hamuamini Makamu wake?

Rais hamuamini Makamu wake?

Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.

Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?

Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Lazima awe na wasiwasi kwani hataki makamu aonekane na yeye anafikiria kugombea urais.
 
Mamlaka ya uteuzi ni ya Rais mwenyewe na sio mwingine yeyote.
 
Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.

Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?

Wajuvi wa protokali ikoje hii.
ni kweli kabisa kulingana na mtazamo wako.

Lakini, ni lini Rais amekua hayupo kazini hata amuachie Makamu wake?

Rais yupo kazini iwe yupo ulaya, Amerika ama Asia. Anatekeleza majukumu yake vizur sana akiwa ndani ama nje ya nchi.

Lakini pia taasisi ya Urais ina ukubwa wa kipekee kutekeleza majukumu na kazi za Rais kwa weledi mkubwa sana na kwa mujibu wa sheria.
 
Weka hiyo barua aloyosaini !
 
Soma ibara ya 47 kifungu chee,
au yuko nje ya nchi.
 
Uteuzi haukaimishwi.
 
Barua Za uteuzi zinasainiwa Akiwa Doha?

Lini Magufuli alisaini documents Za umma Akiwa nje?

Huyu mama huko nje atasaini kila kitu, hamtaamini!
 
Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.

Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?

Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Pengine yeye akiwa makamu alikuwa msaliti na mwenye husuda kwa hio ndivyo aonavyo yeye. Rais Magufuli alimpa sana Bibi yenu fursa za uwakilishi hata nje ya Nchi. Kama halazimiki acha aendelee kufanya afanyavyo
 
Si hilo tu, hata baadhi ya mikutano nje ya Nchi, Rais tunaona anawakilishwa na Rais wa nchi jirani, Zanzibar! (Majuzi alikuwa Cuba)
Lazima ashtuke coz anajua namna alivokipata kiti hicho!

Halafu ujue mama katengenezewa maadui AMBAO kiuhalisia sio maadui HALAFU waitwaor marafiki au watu wa karibu ndio maadui wakuu!

Ni kama jpm alitengenezewa maadui kama chadema na lisu na Mbowe kumbe maadui ni wale aliowaamini sana tena chawa KABISA!

Samiah hajui yupo ni adui yupo ni chawa yupo ndio mlengwa yeye anafanya tu kile anachoambiwa hajui wa kumwamini!!

Labda anahofu kuwa makam ni chaguo la TEC!

After all Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo sana!!
 
Soma ibara ya 47 kifungu chee,
au yuko nje ya nchi.
ulichoeleza ni kifungu cha ngap?

akiwa nje ya nchi kwa maana ya mathalani ni mgonjwa asiweza kutekeleza majukumu ya Rais ndipo Makamu anaweza chukua nafasi yake.

Lakini sasa Rais yupo nje kikazi,
yupo timamu,
na ana afya njema
anatekeleza majukumu na kazi zake vizur,
na wajibu wake kwa mujibu wa sheria anamuajiaje asie husika?
Ili avunje sheria right?
 
Si hilo tu, hata baadhi ya mikutano nje ya Nchi, Rais tunaona anawakilishwa na Rais wa nchi jirani, Zanzibar! (Majuzi alikuwa Cuba)
Mzandiki mkubwa wewe, hujawahi kuona au kusikia Makamu akimuwakilisha Rais mikutano ya nje, au ndo ile philosophy ya "ukitaka kumuua mbwa, mpatie jina baya".

Hasidi hana sababu.
 
Kuna mamlaka ya Rais ambayo hawezi kumpa mtu mwingine, miongoni mwayo ni mamlaka ya kuteua na kutengua.

Mamlaka anayokaimu makamu sio hayo ya kutengua na kuteua.

Licha ya yote hayo, kuwa Makamu wa rais na Waziri mkuu hapa Tanzania ni vyeo vya kutimiza matakwa ya Katiba tu. Nina mashaka sana hata kama wanaachiwa uhuru wa kufanya wajibu wao wa kikatiba.
 
Back
Top Bottom