MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Sio kila madaraka anaweza akapewa Makamu wa Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima awe na wasiwasi kwani hataki makamu aonekane na yeye anafikiria kugombea urais.Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
ni kweli kabisa kulingana na mtazamo wako.Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Weka hiyo barua aloyosaini !Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Kitu gani sasa atakaimiwa kama kusambaza tu barua za uteuzi hapewi.Mkuu sio mamlaka yote hukasimishwa.Mahali ikitajwa Rais ni Rais labda yeye ampe mtu mwingine hayo mamlaka for specific reasons.
Ni mamlaka yepi ambayo hukasimishwa kwa Makamu wa pili wa Rais (JMT)?Mkuu sio mamlaka yote hukasimishwa.Mahali ikitajwa Rais ni Rais labda yeye ampe mtu mwingine hayo mamlaka for specific reasons.
Raisi wa Zanzibar ni Makamo wa kwanza wa Raisi kwa mujibu wa Kabudi.Si hilo tu, hata baadhi ya mikutano nje ya Nchi, Rais tunaona anawakilishwa na Rais wa nchi jirani, Zanzibar! (Majuzi alikuwa Cuba)
Soma ibara ya 47 kifungu chee,ni kweli kabisa kulingana na mtazamo wako.
Lakini, ni lini Rais amekua hayupo kazini hata amuachie Makamu wake?
Rais yupo kazini iwe yupo ulaya, Amerika ama Asia. Anatekeleza majukumu yake vizur sana akiwa ndani ama nje ya nchi.
Lakini pia taasisi ya Urais ina ukubwa wa kipekee kutekeleza majukumu na kazi za Rais kwa weledi mkubwa sana na kwa mujibu wa sheria.
Uteuzi haukaimishwi.Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Barua Za uteuzi zinasainiwa Akiwa Doha?Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Atafanya kazi zote kasoro uteuzi? au mimi ndio sijui kutafsiri.Uteuzi haukaimishwi.
Pengine yeye akiwa makamu alikuwa msaliti na mwenye husuda kwa hio ndivyo aonavyo yeye. Rais Magufuli alimpa sana Bibi yenu fursa za uwakilishi hata nje ya Nchi. Kama halazimiki acha aendelee kufanya afanyavyoIbara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.
Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama hiyo makamu haaminiwi ni kipi sasa kidogo atakachoaminiwa?
Wajuvi wa protokali ikoje hii.
Lazima ashtuke coz anajua namna alivokipata kiti hicho!Si hilo tu, hata baadhi ya mikutano nje ya Nchi, Rais tunaona anawakilishwa na Rais wa nchi jirani, Zanzibar! (Majuzi alikuwa Cuba)
ulichoeleza ni kifungu cha ngap?Soma ibara ya 47 kifungu chee,
au yuko nje ya nchi.
Mzandiki mkubwa wewe, hujawahi kuona au kusikia Makamu akimuwakilisha Rais mikutano ya nje, au ndo ile philosophy ya "ukitaka kumuua mbwa, mpatie jina baya".Si hilo tu, hata baadhi ya mikutano nje ya Nchi, Rais tunaona anawakilishwa na Rais wa nchi jirani, Zanzibar! (Majuzi alikuwa Cuba)
Mfano: Kuteua/Kutengua teuzi za rais, kuvunja bunge/baraza la mawaziri n.k.Sio kila madaraka anaweza akapewa Makamu wa Rais
Uongo uongo uongo! Barua zimesainiwa Doha!Ali sign before hajaondoka🤐
Enendeni Ulimwenguni Kote 😀😀🔥Mpango ndiye raisi ajaye kuanzia 2025 anzeni kuzoea hilo, imepangwa hivyo na powers that be, kuna sababu kwa nini “aliumwa” corona …