Basi asiapishwe, hafla ya nini kama haina maana.Anaapishwa mbele ya Mungu kwa kushika kitabu kitakatifu ili Mungu amsaidie kutenda majukumu yake sawasawa na kama akikiuka basi Mungu amkamate barabara kwasababu kikatiba hashitakiwi, Mungu tu ndiye anayeweza kumuadhibu. Tusubiri tuone adhabu atakayopewa yule "msema kweli ni mpenzi wa Mungu".🤣
Ni UONGO uliotakasika, aliwaambia majaji alipokuwa akiwakataza kujichukulia likizo bila ruhusa yake na kwenda wanakotaka, kwamba hawana ukubwa wowote na ni yeye huwateua, na aliwaambia jukumu lao kubwa ni kuitetea serikali ndiyo inawalipa na asiyetaka na aondoke ataapisha mwingine.
Sasa kwa kauli hiyo nani anaweza kumbana rais.
Kumbuka issue ya CAG analindwa kikatiba akafumua, akasema kama halidhiki na maamuzi aliyochukua aende mahakamani.
Kuna maana gani ya kufanya atakavyo kama kuna sheria?!
Basi asiapishwe, hafla ya nini kama haina maana.
Sheria haimuhusu yeye, zinatuhusu sisi, kwanini anaapa.
Katiba ifumuliwe tu yani imeshakuwa na matundu mengi sana, viraka havifai tenaNdiyo maana katiba yetu inatakiwa kufumuliwa yote na iandikwe upya kwa mahitaji ya wakati.
Kuna sheria inasema; "Raisi anaweza kuamua chochote bila kufuata ushauri wa yeyote."----- Unaona kazi hapo!!!.😒, yaani Rais siku hiyo akiamka vibaya na akasema; fulani auawe, basi habari imeisha.
Katiba ifumuliwe tu yani imeshakuwa na matundu mengi sana, viraka havifai tena
Hahaha tumekuwa wajiga sana sijui kwaniniKiraka juu ya kiraka.🤣
Ulisikia wapi? Farasi akamwendesha mfuga farasi?Anaapishwa ili akivunja katiba Bunge limuwajibishe.
Sijapitia mabadiliko ya sheria ya hivi karibuni yanayosema Rais, PM na Makamu hawawezi kushitakiwa na badala yake anayeweza kushitakiwa ni Mwanasheria wa Serikali!Naomba kuelewa, nini maana ya kiapo cha rais aingiapo madarakani?
Hashitakiwi akiwa madarakani na hashitakiwi akitoka madarakani.
Kwanini anaapa au anaapishwa?
Kinga aliyonayo ni kubwa sioni sababu ya kiapo cha rais.
Kwanini wadili na wadhamini kwani mtuhumiwa ametoroka? Ndio tunarudi kule kule kwamba kiapo ni kukashfu tu imani yako maana unaapa aidha ukiwa na Biblia ama Qur'an.umewahi kujiuliza wale wadhamini ni wa kazi gani? Raisi akivurunda umewahi kusikia wakiwajibishwa ili wadili na mtu waliempa udhamini??
Kuhusu kuifumua Katiba na kuiandika upya sio kipaumbele cha Tanzania ya Magufuli, yeye kipaumbele chake ni Maendeleo, na kuhakikisha vyama vya upinzani vinakufa kwa ghalama yoyote ile!Ndiyo maana katiba yetu inatakiwa kufumuliwa yote na iandikwe upya kwa mahitaji ya wakati.
Kuna sheria inasema; "Raisi anaweza kuamua chochote bila kufuata ushauri wa yeyote."----- Unaona kazi hapo!!!.😒, yaani Rais siku hiyo akiamka vibaya na akasema; fulani auawe, basi habari imeisha.
Kwani kwenye Biblia ama Qur'an kuna hayo maneno anayotamka yameandikwa humo?Anaapishwa mbele ya Mungu kwa kushika kitabu kitakatifu ili Mungu amsaidie kutenda majukumu yake sawasawa na kama akikiuka basi Mungu amkamate barabara kwasababu kikatiba hashitakiwi, Mungu tu ndiye anayeweza kumuadhibu. Tusubiri tuone adhabu atakayopewa yule "msema kweli ni mpenzi wa Mungu".[emoji1787]
Akivurunda kivipi?!Kwa hiyo anaapa au kuapishwa kutii miiko ya kazi yake ambayo kimsingi akivurunda haojiwi na wala hashitakiwi?!
Sioni sababu ya kumuapisha aliye juu ya sheria
Niliandika na ninaandika tena, Malaika kumuapisha Mungu ni kuchezea muda, hawana mamlaka kumuwajibisha kwanini wamuapishe?!
Ni bunge la CCM lililopitishaNaomba kuelewa, nini maana ya kiapo cha rais aingiapo madarakani?
Hashitakiwi akiwa madarakani na hashitakiwi akitoka madarakani.
Kwanini anaapa au anaapishwa?
Kinga aliyonayo ni kubwa sioni sababu ya kiapo cha rais.
Soma vizuri katiba, hiyo sehemu inayosema "Wakati yupo madarakani"! Na kwa bahati mzuri nimelieleza kwenye post nyingine kabla sijaiona hii ya kwako!!Mkuu naomba urejelee vema katiba upo sawa unachokisema ila kuna kipengele kinampa kinga kwamba hatoshtakiwa kwa kosa lolote ikiwa miongoni mwa utekelezaji wa majukumu ya Rais ama kosa lingine lolote.
Kwani kwenye biblia ama qur'an kuna hayo maneno anayotamka yameandikwa humo?
Anaapa kwa mujibu wa sheria zilizotungwa juu ya viapo sasa unaapa kuitunza na kuilinda katiba huku unaikanyaga.
Kuhusu kuifumua Katiba na kuiandika upya sio kipaumbele cha Tanzania ya Magufuli, yeye kipaumbele chake ni Maendeleo, na kuhakikisha vyama vya upinzani vinakufa kwa ghalama yoyote ile!