Rais hashtakiwi popote akiwa Madarakani na hata akitoka, kwanini anaapishwa?

Rais hashtakiwi popote akiwa Madarakani na hata akitoka, kwanini anaapishwa?

Nafikiri Mwalimu angeweka sawa mambo haya kabla!!

Mzazi unatakiwa ujue hatma ya maisha ya watoto wako maana kuna siku hutakuwepo hapa duniani.

Sasa hakuna Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM atakubali mabadiliko yoyote yale...

Jk alijaribu kuigusa katiba mliona kilichotokea??
 
Naomba kuelewa, nini maana ya kiapo cha Rais aingiapo madarakani?

Hashitakiwi akiwa madarakani na hashitakiwi akitoka madarakani.

Kwanini anaapa au anaapishwa?

Kinga aliyonayo ni kubwa sioni sababu ya kiapo cha Rais.
Hapa ndipo ccm wanapotuenjoy wa TANZANIA kwa uzwazwa tulionao.. Aliyeendika katiba iliyopo alikuwa amejiandaa kwa ajiri yake, Sasa madhara aliyoyaacha ni makubwa kuliko vile alivyofikiri
 
Nafikiri Mwalimu angeweka sawa mambo haya kabla!!

Mzazi unatakiwa ujue hatma ya maisha ya watoto wako maana kuna siku hutakuwepo hapa duniani.

Sasa hakuna Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM atakubali mabadiliko yoyote yale...

Jk alijaribu kuigusa katiba mliona kilichotokea??
Labda bunge la ccm litabadilisha katiba, maana kuna notion kwamba wao hutengeneza tatizo na wao kulitatua wapate sifa kwenye jamii.
Wanaweza kuushangaza umma kwa kufanya mabadiliko haya ili kuonyesha umma wanaweza kufanya bila shinikizo la upinzani.
 
Back
Top Bottom