Kiapo kile ni magumashi tu kwani hafuati katiba.Ni UONGO uliotakasika, aliwaambia majaji alipokuwa akiwakataza kujichukulia likizo bila ruhusa yake na kwenda wanakotaka, kwamba hawana ukubwa wowote na ni yeye huwateua na aliwaambia jukumu lao kubwa ni kuitetea serikali ndiyo inawalipa na asiyetaka na aondoke ataapisha mwingine.
Sasa kwa kauli hiyo nani anaweza kumbana Rais.
Kumbuka issue ya CAG analindwa kikatiba akafumua, akasema kama haridhiki na maamuzi aliyochukua aende mahakamani.
Kuna maana gani ya kufanya atakavyo kama kuna sheria?!
Hahahaa wapi huko?!Hujaona mtoto kamzaa mama??!!🤣🤣🤣🤣
Bado kidogo mkuuOkay, hiyo siku unaiona karibu au bado ni imani?!
DAAH...SWALI ZURI SANA ILA NADHANI ADRESS YAKE KAMA INGESOMA CHAMWINO KWA MZEE MAJIBU YANGEKUWA MAZURI KABISA KUKATA KIU YAKO.......ANAEAPA ANA MAJIBU YOTENaomba kuelewa, nini maana ya kiapo cha Rais aingiapo madarakani?
Hashitakiwi akiwa madarakani na hashitakiwi akitoka madarakani.
Kwanini anaapa au anaapishwa?
Kinga aliyonayo ni kubwa sioni sababu ya kiapo cha Rais.
Hahaha hata yeye hana majibu.DAAH...SWALI ZURI SANA ILA NADHANI ADRESS YAKE KAMA INGESOMA CHAMWINO KWA MZEE MAJIBU YANGEKUWA MAZURI KABISA KUKATA KIU YAKO.......ANAEAPA ANA MAJIBU YOTE
Anaapa kuilinda katiba, wakati kilichomo hakitambui.Kiapo kile ni magumashi tu kwani hafuati katiba.
Kwanini aape?!
Kesha kuwa Rais hata kabla ya kiapo, ukipewa cheti cha ushindi na NEC tayari wewe rais sasa nini sababu ya kuapa au kuapishwa?!
Kuapa au kuapishwa kuna formalize nini?
Lakini waliotunga sheria hii, bila Shaka Ni Kama wametunga sheria ambayo inampa mamlaka Rais kulivunja bunge na kuitisha Uchaguzi. Kwa maana hiyo wanaweza wakaingia kwenye mchakato wa kumtoa madarakani na Rasis aakatangaza siku hiyohiyo kulivunja bunge ambapo wabunge watoksa sifa ya kuwa wabunge. Hahaahaahaha. Bongo sihami.Bunge laweza kumwondoa au cabinet yaweza pendekeza hivyo, ila nani wa kumfunga paka kengele haswa kwa matokeo ya sasa ya uchaguzi!
Vijembe ampige nani hata yeye hajiamini tena.Nasubiri kwa hamu hotuba ufunguzi wa bunge la kijani vijembe. Nadhani wataidhinisha muswada vazi kijani litumike, ahadi ya " atake asitake"
Hahaha mwalimu aliisha ondoka tuliobaki hatuwezi kubadilisha katiba?!Hapo Mwalimu ndio alichemka tu...
Hahaha unamvizia naye anakuvizia.Lakini waliotunga sheria hii, bila Shaka Ni Kama wametunga sheria ambayo inampa mamlaka Rais kulivunja bunge na kuitisha Uchaguzi. Kwa maana hiyo wanaweza wakaingia kwenye mchakato wa kumtoa madarakani na Rasis aakatangaza siku hiyohiyo kulivunja bunge ambapo wabunge watoksa sifa ya kuwa wabunge. Hahaahaahaha. Bongo sihami.
Kaapishwa na kuapa kivingine hahaha, kakwepa kuilinda katiba na kutii sheria, kwasababu hawezi na haiwezekani kwake.Bado kidogo mkuu
Ni kuwaridhisha wafadhili lakini kimsingi huyu babu ni dikteta haswaKaapishwa na kuapa kivingine hahaha, kakwepa kuilinda katiba na kutii sheria, kwasababu hawezi na haiwezekani kwake.
Ndiyo maana nikasema yeye yuko juu ya sheria kiapo kina faida gani kwake?!
Waapishaji uliwaona walivyokuwa wanatetemeka?!
Hakuna Haha ya Hata kupiga kura maana hawajibiki kwa yoyote period nashukuru nimepiga kura mara 6Naomba kuelewa, nini maana ya kiapo cha Rais aingiapo madarakani?
Hashitakiwi akiwa madarakani na hashitakiwi akitoka madarakani.
Kwanini anaapa au anaapishwa?
Kinga aliyonayo ni kubwa sioni sababu ya kiapo cha Rais.
Sasa kwanini hasa anaapa, kiapo kinafaida gani kwetu maana hatuwezi kumuwajibisha.Hakuna Haha ya Hata kupiga kura maana hawajibiki kwa yoyote period nashukuru nimepiga kura mara 6
Angepewa cheti cha tume ya uchaguzi akaanza kazi, hana haja ya kuapa.Ni kuwaridhisha wafadhili lakini kimsingi huyu babu ni dikteta haswa
Tuna katiba ya ajabu mno....Naomba kuelewa, nini maana ya kiapo cha Rais aingiapo madarakani?
Hashitakiwi akiwa madarakani na hashitakiwi akitoka madarakani.
Kwanini anaapa au anaapishwa?
Kinga aliyonayo ni kubwa sioni sababu ya kiapo cha Rais.