Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Naandika kifupi Sana kushauri juu ya utendaji wa Waziri huyu ambaye tangu akiwa naibu Waziri alionyesha kiwango cha chini Sana cha uwajibikaji. Ukipita Kila mtandao utakutana na Malalamiko ya utendaji wa vyombo vilivyo chini ya wizara ya Masauni. Umebadilisha watendaji Wakuu wa idara zilizo chini yake Polisi, Magereza, NIDA nk lakini bado uozo ni uleule.
Mh. Rais, ifike mahali usikilize kilio cha Wananchi juu ya Mtu huyu hata kama unamlea lakini ameshachana mbeleko.
Mh. Rais, ifike mahali usikilize kilio cha Wananchi juu ya Mtu huyu hata kama unamlea lakini ameshachana mbeleko.