Masauni kwa kweli basi tu.Naandika kifupi Sana kushauri juu ya utendaji wa Waziri huyu ambaye tangu akiwa naibu Waziri alionyesha kiwango cha chini Sana cha uwajibikaji. Ukipita Kila mtandao utakutana na Malalamiko ya utendaji wa vyombo vilivyo chini ya wizara ya Masauni. Umebadilisha watendaji Wakuu wa idara zilizo chini yake Polisi, Magereza, NIDA nk lakini bado uozo ni uleule.
Mh. Rais, ifike mahali usikilize kilio cha Wananchi juu ya Mtu huyu hata kama unamlea lakini ameshachana mbeleko.
HahahahKilichopo sasa ni kama ule msemo unaosema kutesa kwa zamu,kwahiyo wanaona sasa ni wakati wao kugawana vyeo kadri wapendavyo.