Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

Ashaogopwa tayari na anajua hilo
 
Alipata kusema katiba yetu inampa upenyo Makamu wa Rais kufanya njama za Rais afe ili yeye apate uRais
 


Chalamila kashajisahau, mara nyingi watu aina ya Chalamila au Makonda ni watu hawafai kupewa madaraka, maana watachafua mamlaka za uteuzi haraka sana sbb ni watu wa kujisahau na kuropoka hovyo, yaani they are not leaders at all. Najua Mh. Rais hajasema lolote juu ya maneno mabovu, ya hovyo ya Chalamila, ameshaanza kukerwa mno na matamshi ya RC Chalamila, nadhani anamlia timing, time will tell.
 
Natamani kuipata video yote Nina uhakika majadiliano yote yamebase kwenye kipande kifupi tu Cha video
 
Pumba
 
Watz vichwa vyenu vibovu sana kwenye kufikiri tena ni wapumbavu haswa, tz nzima usikute wenye akila elfu kumi wengn wote wajinga wajinga nimesoma toka juu mpaka hapa ktk comment nilizoona wenye akili wamepatikana wa 3 imegn hata mtoa mada hana akili hili ni janga ktk taifa, mpo kama mbuzi
 
Apia ustaadh!
 
Aende akazime moto Kariakoo kama kweli ana ubavu
Kwani tangia lini Moto unazimwa kwa ngumu? Yeye amesema yupo vizuri kuchapa ngumi.kwa hiyo akienda kariakoo ni kuangalia vibaka watakaoleta uhuni wa kutaka kupora vitu vya watu ndio atawaonyesha moto wake wa kuchapa ngumi mchomoko.
 
Ukiona hivyo ni kuwa hili takataka chalamila linamsaidia rais kutenda maovu..... na rais anayabariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…