Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

Alipata kusema katiba yetu inampa upenyo Makamu wa Rais kufanya njama za Rais afe ili yeye apate uRais
Atatusaidia huko mbele aisee
 
Mkuu, mbona unachukulia vitu too personal?Unaamini kweli ataua mtu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kutishia watu Kwa maneno ni kosa la jinai na Mtu akifanya anapelekwa mahakamani na kuhukumiwa. Jana Mlevi mmoja wa madaraka katishia watu halafu tuchukulie ni utani? Luka 6:45 ....mtu hunena yaujazayo moyo wake.
 
Yule RC wa Mwanza sasa kuna watu walisema kuwa Eti yeye akiwa RC mahala masoko yanaungua,

Haya sasa hayupo Dar na Kariakoo imeungua ,

Je wenye chuki naye ambao mlimzushia hayo mnalo la kusema tena?

Mhukumuni mtu kwa haki na Kweli na sio uzushi.
 
He is Makonda of our Days
 
Kuna watu mpo Kwa ajili ya kutetea wapumbavu. Hatuwashangai maana mnapata Kula yenu Kwa kutetea Mazuzu.
 
Maneno yake tu hayo....

Chalamila hawezi kufanya hivyo.....

Mdomo ndio utajiri wake[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unayakuza tu [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bado unafatilia uzi mzima unasoma za wapumbavu
 
Huwa ana shida gani kuropoka ujinga ? Ana mihemko sanaaa....shida yake nini ? Au hana ubongo ?
Kama katiba inayowaweka kwenye nafasi za mamlaka na maamuzi wanaita "kijitabu tu" ambacho labda si lazima wakifuate kwa utiifu, waweza watu hawa kuitii sheria?
Katika mpya ni lazima ipatikane, vinginevyo ya Chalamila yatakoma kutushangaza.
 
Huwa ana shida gani kuropoka ujinga ? Ana mihemko sanaaa....shida yake nini ? Au hana ubongo ?

sasa kaka yy na ww mlala hoi nan hana ubongo!!….. we hata mkeo tu hawez kukuchagua usimamie familia unapata wap ujasili wa kumkashfu RC[emoji3][emoji3][emoji3]

#JICHEKII
 
Yule RC wa Mwanza sasa kuna watu walisema kuwa Eti yeye akiwa RC mahala masoko yanaungua,

Haya sasa hayupo Dar na Kariakoo imeungua ,

Je wenye chuki naye ambao mlimzushia hayo mnalo la kusema tena?

Mhukumuni mtu kwa haki na Kweli na sio uzushi.
Kuungua masoko inaeleweka ni dili za uvccm hizo
 
Eti ktk hazina ya vichwa vyenye akili kubwa na uwezo mkubwa wa utendaji na integrity wakamleta huyo jamaa ?! [emoji39]
 
Wewe na wewe umepoteza dira. Umeanza vizuri kisha ukakaharibu kwa kuongelea DP WORLD ambayo haina ubaya wowote kwani ujio wake tarajali umeridhiwa na serikali, bunge na mahakama. All in all Chalamila asiondolewe DSM mpaka amalizane na kelele za makanisa kwanza. Ikiwezeka awafunge kama yule mbarikiwa wa chadema kule Mbeya.
 
Hafai hafai system yote ya uwongozi kwenye hili taifa haifaiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…