Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

Huyo aliyemteua siyo kama hataki kumchukulia hatua ila akili zake, upeo wake wa kupembua mazuri na mabaya ndipo ulikoishia.
 
Kosa mnalofanya ni kutaka wajinga wamchukulie hatua mjinga mwenzao. Hell no. Bila wananchi kuamka na kukiwasha hakuna kitakachobadilika bali hali itazidi kuwa mbaya.
 
Wala hamuogopi, usije ukafikiri anayofsnya chalamila, hayana Baraka za, ikulu, ccm, samia anapenda watu wasema hovyo, wanao attract attention na kuwatoa watu kwenye reli, badala ya ku discus Mambo muhimu, na kuisema serikali kwa madudu inayoyafanya, watu wanakuwa wanamfatilia kenge Chalamira
 
Mkuu niliwaza hivyo hivyo kuhusu neno mashine. Lakini nikaepuka kuandika kwa sababu isije ikanizawadia ban.

Kwa kauli hiyo anamaanisha yeye ni mbakaji na hakuna wa kumfanya lolote. Angesema anachomoa betri bado tungemnanga uhuni wake dhidi ya sheria lakini kusema anaweza kuchomoa mashine inaleta maana ovu zaidi.

Hao TISS unawataja sidhani kama wanakerwa na hili. Watuhumiwa wanaokamatwa na vyombo vya dola wanatendewa unyama mwingi ikiwemo kuingiliwa kinyume na maumbile. Mnakumbuka issue ya Lwajabe? Mnakumbuka issue ya masheikh wa Uamsho na watu wengine ambao wametendewa unyama huo wakiwa chini ya vyombo vya dola?

Nchi imejaa waovu kila kona. Safisha safisha inakuja ambapo hakuna atakayekwepa mkono wa Mungu
 
Halafu Jeshi la Police lipo kimya, kauli hii angeongea mtu ambaye either ni mwanasiasa upinzani au wa kawaida, hivi angekua mahabusu... shame Policcm
 
Halafu Jeshi la Police lipo kimya, kauli hii angeongea mtu ambaye either ni mwanasiasa upinzani au wa kawaida, hivi angekua mahabusu... shame Policcm
Mapolisi wengi ni wahalifu (siyo watuhumiwa) ndani ya sare.

Usitegemee wakawa upande wa raia kwenye hili
 
Huwa ana shida gani kuropoka ujinga ? Ana mihemko sanaaa....shida yake nini ? Au hana ubongo ?
Ndio Nchi yetu hiyo tuwe wavumilivu

hivi sasa Mwijaku yuko Ufaransa ametumwa na Nchi anatafuna foreign perdiem kwa ajili ya kuvutia wawekezaji
 
Nimemsikia mteule mmoja wa Rais akipiga Mkwara kwa anaowaongoza kwamba Yeye ni Mkorofi aliyepitiliza na Kushindikana kabisa

Ndio nauliza Ukorofi Uliopitiliza na Kushindikana ni Sifa ya Uongozi? Tena kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa!

Enendeni Ulimwenguni Kote😀
 
Ndugu hata Mashuleni. Walimu walikuwa wakichagua mtu mkorofi kuwa kiranja au Monitor

Hata Magereza Mkorofi ndio anakuwa Nyapara.
 
Hiyo ni sifa kuu hasa ukiwa kile chama kilichochakaa na kuchacha.
 
Umeona Eh! Lile takataka Chalamila, na Samia anamuacha na ushenzi wa matamko kama hayo!
 
Chala hataki kuwa mkuu wa mkoa aliyemteua anapaswa kulijua hilo na achukue hatua haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…