Mwanaume anaweza kuwa na mwanamke mrembo sana lakini bado anachepuka. Mapenzi ni kitu cha ajabu sana.
💯Mwanaume anaweza kuwa na mwanamke mrembo sana lakini bado anachepuka. Mapenzi ni kitu cha ajabu sana.
Hongera sana ndugu yangu Rais Hussein Mwinyi. Ikifanikiwa Zanzibar ni furaha kwa wote mpaka huku bara.
Sio fursa. Mimi tokea nimfahamu Sakho tokea akiwa PSG kabla ya kuhamia Liverpool 2013 yeye na mkewe Madja wamekuwa ni watu wanaojitolea sana katika jamii hasa Africa.Huyu jamaa inaonekana Tanzania iko moyoni mwake tofauti na masupastaa wengine wa Afrika.
Kama sikosei hii ni mara yake ya pili inayotambulika kuja tanzania hata kama ni kwa mapumziko tu.
Au kaona fursa?
Ukiwa na pesa unakosaje sasaMchizi ana kisu kikali kinoma
Yeye ndio fursa kwa Tanzania.Huyu jamaa inaonekana Tanzania iko moyoni mwake tofauti na masupastaa wengine wa Afrika.
Kama sikosei hii ni mara yake ya pili inayotambulika kuja tanzania hata kama ni kwa mapumziko tu.
Au kaona fursa?
Nimekupata Kop.Sio fursa. Mimi tokea nimfahamu Sakho tokea akiwa PSG kabla ya kuhamia Liverpool 2013 yeye na mkewe Madja wamekuwa ni watu wanaojitolea sana katika jamii hasa Africa.
Hii ni kutokana na yeye mwenyewe kuwahi kusema kuwa hakupata privilege ya kuishi maisha mazuri akiwa mtoto hivyo kwakuwa Mungu amamjalia basi kile kidogo alichonacho anakitumia kuwainua watoto walio katika mazingira magumu.
Jamaa amefanya charity work nyingi sana Africa asee ni moja ya mastaa wa soka wanaojitoa sana namkubali sana kwa hilo. Yeye na Mane wanajitoa sana japo Mane ame base zaidi kwao Senegal ila Sakho amafanya sehemu nyingi sana.
Yes ni mfano wa kuigwa kwa wachezaji wa Kiafrika japo yeye sio Mwafrika ni Mfaransa mwenye asili ya Afrika.Nimekupata Kop.
Jamaa ni mfano wa kuigwa kwa wachezaji wa kiafrika katika kuinuana Waafrika.
Asante
Wa West Africa wanaipenda sana Zanzibar, wengi wao ni Waislam na wanaamini Zanzibar ni sehemu safi ya wacha Mungu.Huyu jamaa inaonekana Tanzania iko moyoni mwake tofauti na masupastaa wengine wa Afrika.
Kama sikosei hii ni mara yake ya pili inayotambulika kuja tanzania hata kama ni kwa mapumziko tu.
Au kaona fursa?
Lakini sio kwamba mara zote kaenda Zanzibar,mara ya kwanza alikuwa mbuga za wanyama BARA mkuuWa West Africa wanaipenda sana Zanzibar, wengi wao ni Waislam na wanaamini Zanzibar ni sehemu safi ya wacha Mungu.