Rais Hussein Mwinyi amkaribisha Mamadou Sakho Ikulu. Ni nyota wa Crystal Palace na timu ya Taifa Ufaransa

Lakini sio kwamba mara zote kaenda Zanzibar,mara ya kwanza alikuwa mbuga za wanyama BARA mkuu
Ninakubaliana na wewe lakini nimekutana na wa Mali, wa Gambia wananiambia honeymoon zao watakwenda Zanzibar.

Zanzibar inaweza kutumia hii nafasi kuendeleza utalii, kuweka misikiti yenye hadhi na hoteli zisizouza pombe na watu kuvaa kwa kujistiri. Wanawake wawe na sehemu yao ya kuogelea.
 
Kikubwa asije akawa amerubuniwa kwenye mkataba wandoa usije ikawa kama muiverekost
 
31 May 2021
Zanzibar, Tanzania

Aliyempokea mchezaji wa Ufaransa na Crystal Palace, Mamadou Sakho na familia yake Zanzibar, afunguka

Mchezaji wa klabu ya soka ya Crystal Palace na timu ya taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho pamoja na mkewe, Madja na familia nzima wapo nchini Tanzania.

Wametua Zanzibar juzi na kupokelewa na Waziri wa Utalii wa Zanzibar, Lela Muhamed Mussa pamoja na muimbaji na mdau wa utamaduni wa Zenji, Khalka Ahmed ambaye anazungumza nasi.
Source : SimuliziNaSauti
 
Ninakubaliana na wewe lakini nimekutana na wa Mali, wa Gambia wananiambia honeymoon zao watakwenda Zanzibar.

Zanzibar inaweza kutumia hii nafasi kuendeleza utalii, kuweka misikiti yenye hadhi na hoteli zisizouza pombe na watu kuvaa kwa kujistiri. Wanawake wawe na sehemu yao ya kuogelea.
Kwa ujumla Zanzibar huwa inajiuza duniani bila kujali misingi yao ya kiimani.
Ila nakubaliana na wewe tuiboreshe Zanzibar iweze kukidhi matakwa ya jamii nyingi maana ile effect yake hata bara tutaiona.
 
Inaonekana kwenye hizo picha ata Raisi Mwinyi alikuwa hatikisiki, mbona amejikaza sana 😂🤣 kama ndo sasa anakaguliwa gwaride, ila nimependa mapozi hayo ya picha Raisi ana furaha Sana
 
Huyo pembeni ni Demu wake?au Mke wa Rais?hahaha
MM.jpg
 
Huyu jamaa inaonekana Tanzania iko moyoni mwake tofauti na masupastaa wengine wa Afrika.
Kama sikosei hii ni mara yake ya pili inayotambulika kuja tanzania hata kama ni kwa mapumziko tu.
Au kaona fursa?
Hapo ni fursa tuu.
 
Inaonekana kwenye hizo picha ata Raisi Mwinyi alikuwa hatikisiki, mbona amejikaza sana 😂🤣 kama ndo sasa anakaguliwa gwaride, ila nimependa mapozi hayo ya picha Raisi ana furaha Sana
Labda hujamuona Mheshimiwa rais alivyokuwa akicheka kwa furaha
 
Ninakubaliana na wewe lakini nimekutana na wa Mali, wa Gambia wananiambia honeymoon zao watakwenda Zanzibar.

Zanzibar inaweza kutumia hii nafasi kuendeleza utalii, kuweka misikiti yenye hadhi na hoteli zisizouza pombe na watu kuvaa kwa kujistiri. Wanawake wawe na sehemu yao ya kuogelea.

Hayo masuala yanataka pawe na viongozi wenye vision na nia safi ya kimaendeleo sio hawa Vibaka wa CCM
 
Kwa ujumla Zanzibar huwa inajiuza duniani bila kujali misingi yao ya kiimani.
Ila nakubaliana na wewe tuiboreshe Zanzibar iweze kukidhi matakwa ya jamii nyingi maana ile effect yake hata bara tutaiona.

Zanzibar ni fursa kubwa ya kiuchumi tunayoikalia, Zanzibar ikiendelea kiutalii na Kibiashara neema lazima zitafika hadi Bukoba na Chato.
 
Back
Top Bottom