Rais Hussein Mwinyi amkaribisha Mamadou Sakho Ikulu. Ni nyota wa Crystal Palace na timu ya Taifa Ufaransa

Hahaha bwana eh
Ila naskia kitambo yuko naye

Ova

Kawaida huwa hawafanyi haraka kuondoka, mpaka wakishaona kipato kinaanza kushuka ndipo wanapoanza vurugu zao.

Rejea Kwa Henry, Ebue
 
Ukiwa na hela bhana,!!! Unaoa mwanamke yeyote. Kweli mwanaume ni hela
 
Tatizo la waafrika wakifanikiwa wanakimbilia kuoa wazungu badala ya kuoa wanawake wa kiafrika ili nao wanufaike na mafanikio ya waafrika wenzao.

Hii ni mental slavery.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…