Rais Hussein Mwinyi: Chanjo ya korona ipo pale pale, kama mtu hataki kuchanjwa hiyo ni juu yake

Safii maana Utalii Zanzibar utakuwa juu
Huku bara tutegemee Maumivu tunajivuta vuta sana....
 
Hata Mbuni naye akificha kichwa chake kichakani akaacha mwili nje naye anajisikia hivyo hivyo.
 
Hamzungumzii Maalim Seif, anamzungumzia yule ‘shujaa’ mwingine!
Kwani huyo Shujaa mwengine nae kapitia na corona kama ilivyompitia Maalim seif? Maana Maali seif haina utata ni corona.
 
Kachanjwa kisiri siri ila wewe umejua!!

🤣🤣🤣🤣
Nimejulia humu humu JF, hawa waliyojua kuwa kifo chake ni corona na si kama tulivyotangaziwa ndio hawa hawa walisema Magufuli amechanja chanjo ya corona kisirisiri.
 
Waache walete hayo machanjo yatakaa mpaka muda wa kutumika uishe halafu wakachome moto hii kwa mtanzania ni ngumu sana mtu huumwi uende ukachanjwe kwa mtanzania mpaka asikie maumivu ndo aende hospitali
 
Kama wazungu wanachanjwa,ss ni nani?😆😆😆hovyo Sana
 
Wewe una uhakika gani kwamba sitamaliza miaka kumi?
Au wewe unaona chanjo ndiyo tiket ya kuishi mda mrefu?
Kufa tu maana huna faida kwa taifa
 
Kwani huyo Shujaa mwengine nae kapitia na corona kama ilivyompitia Maalim seif? Maana Maali seif haina utata ni corona.
Mimi nimekujibu tu kwamba si Maalimu! Kama shujaa wenu hajafa na corona ni sawa tu, lakini kikubwa yeye na Maalimu hatunao tena!
 
Watu kama hao saadam Hussein alikuwa anawapiga sumu tu
Umeonekana ulikuwa umepotea vipi mshahara umepata wa ulinzi hapo Ufipa?? Nasikia mna miezi sita hampati mshahara makamanda na Faru John amesema mjitolee pia mtume michango yenu kwa Faru John.
 
Na akasema kuwa isitokee watu wakaanza kuvumisha urongo kuwa hiyo chanjo imesababisha watu waliochanjwa kupoteza maisha.
Ila wale wa kufa kwa maralia ama pumu kutangazwa wamekufa kwa corona, ni rukhusa! ( Nawaza kwa herufi kubwa)
 
Hata jiwe alikuwa na mawazo kama yako
Kila mtu wacha 'acheze mechi zake'....mwenye kuamini mtazamo wa 'mtemi Kinjeketile' sawa tu .......narudia tena ni vema kila mtu apambane na maisha yake. Kazi iendelee.
 
Kama Tanganyika watachelewa kuingiza chanjo binafsi nitaenda Zanzibar kudungwa
 
Kila mtu wacha 'acheze mechi zake'....mwenye kuamini mtazamo wa 'mtemi Kinjeketile' sawa tu .......narudia tena ni vema kila mtu apambane na maisha yake. Kazi iendelee.
Ndiyo maana rais Mwinyi Kati A hiyo option
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…