Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

Hivi kumbe ilikuwa ya salmin? Siku zote nikijua ilikuwa ya babake
 
Wakriso sio mfuko tu munao mpaka ubalozi wa vatikan munao hapa
 
Wakriso sio mfuko tu munao mpaka ubalozi wa vatikan munao hapa
 
Hiyo pesa ya mfuko wanataka iwe suala la Muungano ili Hazina / Bank Kuu watoe pesa
 
 
Mambo mawili yamenishtusha la kwanza ni Kwa nini serikali ianze kutoa hela kufadhili ibada?

La pili ni Kwa nini suala la kuanzisha mfuko wa kunufaisha ibada ya waislamu Zanzibar uombewe kibali kwenye serikali ya muungano?
Kuna ubaya gani,
 
Habari za Udini zinaanzaga taratibu tu na vidalili kama hivi huwa vinatakiwa kukemewa haraka sana la sivyo yatakuja kama yale ya JK kipindi kile. Udini mpaka maofisini.
 
Wakati anakodisha visiwa hakusema ataenda kuongea na serikali ya JMT, kwanini kuanzisha mfuko wa waislam wa zanzibar kwenda hijja anataka kuongea na serikali ya JMT?
Kwanini asichukue hizo hela alizokodisha visiwa akawapa waislam wa zanzibar waende hijja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…