The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
- Thread starter
-
- #61
Ilitangazwa lini kuwa Islamic state na ikiwa ni hivyo si wajianzishie tu huo mfuko why kuiomba serikali ya muungano?Elewa kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamu
Pili, Zanzibar kama nchi inadai fedha nyingi JMT ikiwa ni malimbikizo ya mgao wake wa mapato ya Muungano
Walitaka kujiunga pic wakazuiwa na JMTIlitangazwa lini kuwa Islamic state na ikiwa ni hivyo si wajianzishie tu huo mfuko why kuiomba serikali ya muungano?
Lakini uislamu unaruhusu kutumia mali ya wasio waislamu kueneza uislamu sio haramu, ajadili na uongozi wa bara huo mfuko uundwe ili waislamu wa zazibar wasio jiweza waweze kutimiza nguzo muhimu, hilo litadumishà muungano zaidiNi memsikia rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali serikali ya muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waisilam wanapoenda hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kunitaka serikali ya muungano igharamie ibada ya dini moja?
Jambo jemaNi memsikia rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali serikali ya muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waisilam wanapoenda hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kunitaka serikali ya muungano igharamie ibada ya dini moja?
Zanzibar is gone. Forever.Free Zanzibar
Haitakiwi kuombainaitwa Sadakatil jaria,katika dini ya Kiislamu kuna sadaka za aina nyingi..
Kumpeleka mtu Makka ni moja katika hizo sadaka..
Dangote anawapeleka zaidi ya wailamu 50 kwenda Makka kuhiji kila mwaka..
Zanzibar is gone. Forever.
Lazima apate idhini ya SJMTNi memsikia rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali serikali ya muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waisilam wanapoenda hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kunitaka serikali ya muungano igharamie ibada ya dini moja?
Ndio mana tunasema Zanzibar haiko huru, na huyu rais wa Zanzibar yeye bado anacheka cheka maana si mzanzibar hili jambo halimuumi, na sio kibali cha mfuko tu ata Rais wa Zanzibar kusafiri nje ya nchi kibali kinatoka huko huko uchogoniNi memsikia rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali serikali ya muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waisilam wanapoenda hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kunitaka serikali ya muungano igharamie ibada ya dini moja?
Taratibu Rais Mwinyi anaanza kupoteza njia.Ni memsikia rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali serikali ya muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waisilam wanapoenda hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kunitaka serikali ya muungano igharamie ibada ya dini moja?
Kwani wao kwa mapato ya serikali yao wameshindwaje ?
ni kwamba kodi zetu wakristo zianze kuchangia waislam kwenda hija ilhali wao huwa wanabomoa makanisa Zazibar
Ndivyo ulivyoambiwa Kanisani kwenu?Katumwa kupima upepo tu hilo wazo la mama yao pale juu
Muungano hauna mapato, bali yale mapato ya Tanganyika hubatizwa na kuitwa mapato ya Muungano!!Elewa kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamu
Pili, Zanzibar kama nchi inadai fedha nyingi JMT ikiwa ni malimbikizo ya mgao wake wa mapato ya Muungano
Hakuna tatizo lolote, Ni sawa tuKuna ubaya kwa sababu serikali haipaswi kujiingiza kugharamia ibada za watu kwa sababu tuna imani na dini nyingi sana itatuchanganya kama taifa
Bila shaka tayari walishayaongea!! Maandalizi ni kutoa migao wa kufa mtu kila mara wakati Jamhuri ya muungano (Tanganyika) inapopata mkopo!! Kwa hiyo pesa ya kuwasidia "ndugu" tayari wanayo na wataendelea kuipata. Kilichobaki ni kurasimisha kwa "kupeleka kesi ya ngedere kula mahindi kwa nyani"!!Ataongea na Dada yake,na hili jambo huenda likafanyika!
Hapo msikitini mmeambiwaje?Ndivyo ulivyoambiwa Kanisani kwenu?