Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar, naomba nikukosoe kwa staha; usingilie Mahakama

Kwa kauli hii
Kauli yenyewe hii hapa chini πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
yoyote atakae kamatwa kwa kosa la madawa ya kulevya
Hii kauli imesema "YEYOTE ATAKAYEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA.."

mkuu hii kauli maana yake atakayekamatwa kwa madaya ya kulevya eidha

Awe anatumia yeye katika mkoa huo
anasambaza yeye katika mkoa huo


Kwa hiyo kauli ya mh raisi imemgusa kila annaehusika na madawa na wala hakusema "yeyote atakayekamatwa akitumia madawa" angelisema hivi ulikuwa na haki ya kulalamika lakini hakusema hivyo.

Kauli ya Raisi ni kauli ya jumla wewe umeifanya ni kauli mahususi na umeuweka umahususi huo ili umkosoe sio sawa.


Kwanini asiongeze nguvu kwenye vyombo vya ulinzi wakabaini mtandao nakuufyeka?
Itakiwa useme kwa nini hajasema au hajatoa tamko la kuongeza nguvu ili kubaini mtandao.

Kwa sababu huna uhakika kwamba hajaongeza nguvu isipokuwa uhakika wako ni kuwa hajasema kama ameongeza nguvu.

Na sio kila anachofanya raisi eti akiseme ili wewe ujue kwamba kaongeza nguvu,ikitokea atasema kama haikutokea sababu hatosema.

Lakini pia Vyombo vya ulinzi vinafanya operesheni zake kama kawaida ili kupambana na mambo hayo wewe huwezi kujua wanatumia njia gani kuomgeza nguvu.

Pengine njia wanazotumia kuongeza nguvu ni njia ambazo hazitakiwi kutangazwa yaani zisijulikane.


Hapo bado unajiuliza madawa yanaingiaje?
Hivi majuzi pale airpot yikamatwa madawa ya kulevya na walinzi.

Hakukamata raisi,alafu unauliza yanaingiaje wakati kazi inafanyika na wenye dhamana kwa kadri ya uwezo wao.
 
Madawa ya kulevya ni janga la Dunia nzima...
 

Kwahiyo watu wamambo ya madawa wote bongo wamezaingiziwa?! We utakua na kichaaa..
Hao watu si kila siku walikua wanajadiliwa humu JF?! Wewe ulikua ujajiunga nini?! Ulisikia sehemu watu wakisema wamesingiziwa humu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…