Rais huwa hatangazi Utalii

Huko Rwanda Masokwe ndio wanatangaza Utalii hapa kwetu ni Wanasiasa ndio wamekuwa Masokwe wetu.
Kagame kwa taarifa yako keshafanya hiyo royal tour ingia YouTube utamuona

Naona akili zimewaruka

Hata Kama hamumupendi Mama Samia lakini si kuzua uongo Kama huu kuwa Rwanda hawajafanya Royal Tour
 
Tanzania inashawishi nchi za Afrika watumie Kiswahili wakati hata swala la utalii tu mnatumia mambo ya kiajabu ajabu ...... nani ni Royal Tanzania? Wafalme na watemi tuliachana nao muda mrefu. Aibu kubwa sana hii kwa Tanzania Wenye macho hawaambiwi tazama.

Huzuni na simanzi.
 
Acha kudandia matreni kwa mbele
Royal tour ni kipindi cha utalii cha tivii cha huko ulaya
Ambapo wana familia wa familia za kifalme wanatembelea nchi za kitalii, sasa safari hii wamekuja tanzania
Ndio rais kajumuika nao kwenye kipindi chao
Kwasababu ni kipindi maarufu ambacho wale matajiri wa kubwa wa ulaya wanaopenda utalii hukifuatilia

Kwa hiyo laumuni vyombo vyenu vya habari kutotoa taarifa kiundani
 
Acha kudandia matreni kwa mbele
Royal tour ni kipindi cha utalii cha tivii cha huko ulaya
Ambapo wana familia wa familia za kifalme wanatembelea nchi za kitalii, sasa safari hii wamekuja tanzania
Ndio rais kajumuika nao kwenye kipindi chao
Kwasababu ni kipindi maarufu ambacho wale matajiri wa kubwa wa ulaya wanaopenda utalii hukifuatilia

Kwa hiyo laumuni vyombo vyenu vya habari kutotoa taarifa kiundani
 
Mkuu kutokuja kwa watalii eti ni sababu ya gaidi la hasha kwanza huyo gaidi nani anamfahamu au ni kipi alichonacho zaidi cha kuwafanya watalii wasije Tanzania, kama kutokoja basi wasingekuja wakati Mbeligiji alipokimbia nchi kwenda kwa Amsterdam wake.
 

Baada ya Kigwa na bongo movie, Kwamba mwenyewe kutimba kama bongo movie
 
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Utumbo mtupu kwenye swali gumu. Matajiri wa ulaya na familia zao hawahitaji kuambiwa mambo ya Tanzania, wewe ni mshamba wa wapi? Weka hiyo TV ambayo unaisema ni ya wapi? Unasema ni maarufu nchi gani weka fact wacha kuleta ngonjera.

Nyinyi ndio wale watoto wa watumwa mnafikiri kila mtu ni mtumwa.
 

Tatizo la kukaa chini ya mtungi wa maji chanzo chako kikuu cha taarifa ni jf unaibuka na mapovu mengi yasiokua na kichwa wala miguu

Raisi Kagame wa Rwanda alifanya Tour de Rwanda alikua anatangaza nini pale? unakurupa na kusema katika utambulisho wa Mess kulikua na tangazo hilo la Visit Rwanda hivi kwa uchache wa akili unafikiri Kagame alifight kiasi gani kulifanikisha hilo? Wa Tz mnatia aibu kwa kukurupuka ndio maana tunaonekana na majirani zetu
we have a doom thinking capacity
 
Ujaona utofauti au mfanano kati ya Royal tour na anachofanya mama yetu?

Hebu tumia akili kidogo linganisha hizo tofauti watu wakuelewe sio unasema kiujmla tu. Labda huenda kuna uchache wa ufahamu kwako ukakuletea picha ya utofauti.
 
Angefanya Biden mngesifia! Watanzania baadhi tunapenda kukosoa kila kitu. Ndiyo Rais wetu kaanzisha safari. Royal family ya British iliwahi kutangaza vivutio vya utalii vya nchi yao.

Anachokifanya Rais Samia akiwa ni mwanadiplomasia namba moja ni kuendelea kuionyesha dunia Tanzania ilivyo na utajiri na kuongeza uaminifu zaidi kwa watalii na wawekezaji#Tumuunge mkono Rais. Royal Tour.
 
Royal tour ya Kagame ilikuwa imejaa Location kibao na filming kama ya Samia?
Hujui hata maana ya Royal tour, toto haramu wewe.

Sema moja ilikua na Location au ilikua haina? kwa ufinyu wa kufikiri ukubwa wa Rwanda utafananisha na Tanzania?
 
Muache chopra aiigize muzi kikubwa Ndugai yeye awe charanteja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…