Rais huwa hatangazi Utalii

Kwani katiba inasemaje kuhusu ilo? Tuanzie hapo kwanza
 
Kagame kwa taarifa yako keshafanya hiyo royal tour ingia YouTube utamuona

Naona akili zimewaruka

Hata Kama hamumupendi Mama Samia lakini si kuzua uongo Kama huu kuwa Rwanda hawajafanya Royal Tour
Hawa nao wamefanya hiyo tour??
 
Morocco ndiyo namba one kwa watalii wengi Africa, je ni kwa sababu ya hicho kipindi??
 
So for the past 60 years dunia bado haijui vivutio vyetu siyo?? Kama till now hawajui tuna vivutio vya utalii watakuwa wanajua tuna nini hasa? Mbona mna hoja nyepesi sana aisee??
 
Mawazo hayo ni yale ya Kukariri Darasani.

Siyo kweli ati Kenya haikutangazwa na Rais huko Ughaibuni?

Kumbuka kazi aliyoifanya Rais Moi DHIDI ya Kenya.

Kumbuka Neno HAKUNA MATATA ni neno lilotengenezwa na Kuimbwa kimkakati na wanakenya na mpk Mavazi na Bendera za Kenya zikasambazwa kimkakati huko ughaibuni.

Rais Moi alifufua Utalii Kenya kwa Nguvu kubwa na akafanikiwa.

Rais Wetu anachokifanya kwa sasa ni bonge la TIMING.

A WOMAN and ONLY in EAST Africa and Africa as a PRESIDENT at the moment-Yeye mwenyewe Tayari ni BONGE LA ATTENTION.

SOON AFTER COVID-NATURE SHALL BE THE ONY THING THE WORLD WANT TO HUG...

Iron Ladies-Angel Meckhel,Clintons,Michelle Obama,Rice,Winfrey Opprah-Hawa wanataka kusikia Mwanamke anatawala.

Lazima watamback up vizuri sana.

TIMING

CONGRATULATIONS YOUR Hon.MADAM PRESIDENT SSH.
 
Ukweli ni huo lini rais akatangaza utalii, wao walipe celebraties wa nje wakubwa watangaze vivutio vyetu, wahakikishe hospitality industry inakua imara mgeni akija atamani kurudi tena, wafanye mambo kisasa na kuhakikisha wanarob duniani makongamano na mikutano ya kimataifa iwe hosted hapa Tanzania,
 
Kwahiyo mama alipoenda Kigali alishauriwa afanye Royal tour na yeye kaufanyia kazi ushauri!! Kazi kweri kwerii teh
 
Royal tour mbona hata kagame kashafanya... Raisi ndo nembo ya taifa sas kama anamuda wakufanya hivo kwann asifanye Yani kisa Marais wa nchi zingne hawajafanya jamb basi nawakwetu asifanye kwani Kuna ubaya gani
 
Tumechelewa sana kujitangaza kwa Dunia na kutumia fursa ya utalii Kwa kuingiza mapato makubwa...
Piramidi za Misri ni maarufu kuliko kivutio kingine chochote barani Africa na sio kwa sababu Misri inajitangaza sana.

Watalii hawaji kwa sababu una vivitio vingi tu, wanakuja kwa sababu ya historia ya vivutio ulivyo navyo, siasa na muingiliano wa nchi yako na mataifa mengine
 
In reality hakuna hicho kitu kinachoitwa "Sukuma Gang" ambacho kina exist in reality, huo ni urongo na uzushi tuu wa yule kichaa wetu wa Twitter kwa lengo la kujenga chuki dhidi ya Wasukuma...
Mkuu naelewa sana kuwa Wasukuma kwa kawaida ni watu poa sana.

Msukuma ni mtu gentle na mstaarabu kwa kadri ninavyo wafahami, maana tumeoleana huku mitaani.

Lakini kumbuka SUKUMA GANG is a political term ,ni pseudonym ya wafuasi wa Mwendazake.

Utakuta humo yumo Polepole, Sabaya, Chalamila na Bashiru ambao si wasukuma lakini ni wafuasi wa Mwendazake na wana tabia zinazofanana.

Siyo siri hata hivyo kwamba Mwendazake aliteua 0ver 80% ya viongozi wake toka Lake Zone, na ndio maana ya asili ya hiyo Sukuma Gsng.
 
Mkuu naelewa sana kuwa Wasukuma kwa kawaida ni watu poa sana.
Msukuma ni mtu gentle na mstaarabu kwa kadri ninavyo wafahami, maana tumeoleana huku mitaani.
Asante kwa hili kuhusu Wasukuma.
Lakini kumbuka SUKUMA GANG ni pseudonym ya wafuasi wa Mwendazake.
Siyo siri hata hivyo kwamba Mwendazake aliteua 0ver 80% ya viongozi wake toka Lake Zone, na ndio maana ya asili ya hiyo Sukuma Gsng.
Kwanza sii kweli JPM aliteua 80% kutoka Lake Zone, ukweli ni kuwa Lake Zone acconts for 40% of Tanzania population, hivyo kwenye kila uteuzi wa nafasi 10, nafasi 4 zilipaswa kutoka kanda hii as a derserving positions and not prefential treatment.
P
 
Kama kwenye kanda alizingatia hivyo kwa nini kwenye dini hakuzingatia hivyo?
 
Kwa nini kwenye jinsia hakuzingatia hivyo ateue wanawake wengi kuliko wanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…