Rais huwa hatangazi Utalii

Ulivyo kilaza unaongea kwa nguvu kabisa eti Kagame hajawai fanya! Alafu mbaya zaidi unajiita Intelligence Justice kumbe kilaza wa mwisho kabisaaa 😂😂😂

Huyu anayefanya Royal Tour hapa ni wewe??? Jinga kabisa

 
We kilaza Huyu ni wewe?
 
Labda Afghani refugees masquerading as Pakistanis wataikitikia mwito wa granny aka babushka.
 
Wewe ndio kilaza wahedi, hapo unaona nachukua filamu ya utalii wa kitu gani ? Mafuvu ya mauaji ya kimbari sio? Yaani mnaua watu wenu ili mje mfanye kivutio cha utalii ndio unaiga?

Angetumia jina la kitanzania kufanya kampeni hiyo kila mmoja angemwelewa mbona Nyerere alitumia mwandishi bianfsi wa kizungu na mpiga picha wa kihindi na walizingatia maudhui ya lugha ya kitanzania na tamaduni zake. Hii iliyoigwa inaitwa 'The Rwanda Royal Tour' je Tanzania tumefikia hatua ya kibaguzi kuanza kutangaza utalii kwa kutumia hadhi ya kifame au kimalkia ndio wageni wakizungu wathamini na kuamini tutangazacho kinatoka kwetu?

Tanzania should have explored a different UNIQUE approach to promote tourism without directly involving the head of state in the field touring the natural resources and heritage sites being accompanied by foreigners whilst the normal citizens are denied access to taking adventures at their leisure time.
 
Sasa kama hana kazi afanye nini sasa? Mwacheni azurure tu!
 
Rais ana deal na policies na kuandaa mazingira mazuri ya implementation ya hizo. Wapo wengi tu wanaweza kufanya kazi hii tena kwa uzuri zaidi kuliko yeye - kina Nandi, Jokate ndiyo warembo hao hata mtalii akiwaona anavutika kuja TZ.

Sasa ukiona Rais anakuwa mtangazaji wa utalii basi kuna tatizo pahala.
 
Tatizo ni ushamba wako! Kwa iyo Rais Kagame alivyofanya Royal Tour alifanya kama Diwani?

Kilaza wewe
Kuifananisha Tanzania yenye vivutio chungu nzima kila kona ya nchi na Rwanda nikuikosea Tanzania heshima.Ni aibu Hii nchi kukwama kiasi hichi kwenye sekta muhimu ya utalii wakati kila kitu tunacho.
 
Sasa kama hana kazi afanye nini sasa? Mwacheni azurure tu!
Mkuu

Wananchi wana kero za kufa mtu kwa sasa, wanadhulumiwa na hawana uwezo wowote wa kudai haki kwenye vyombo vya sheria, maisha ni magumu, dhuluma dhidi yao imeongezeka sana ikiambatana na visasi kwanini kipindi fulani walikuwa wanatetewa-maajabu-iwanasiasa hawasaidii chochote zaidi ya ulaghai tupu
 
Kuifananisha Tanzania yenye vivutio chungu nzima kila kona ya nchi na Rwanda nikuikosea Tanzania heshima.Ni aibu Hii nchi kukwama kiasi hichi kwenye sekta muhimu ya utalii wakati kila kitu tunacho.
Ni fedheha sana Tanzania kupimwa na Rwanda kila mara.
 
Huna lolote ujualo! Umetoa boko alafu unajifanya mjuaji!!

We si umesema Kagame hajawai kufanya kipindi cha Royal Tour umewekewa ushahidi unahamisha magoli.

Kilaza wewe!
 
Endelea kuhamisha magoli kilaza unayejiita intelligence
 
Kuifananisha Tanzania yenye vivutio chungu nzima kila kona ya nchi na Rwanda nikuikosea Tanzania heshima.Ni aibu Hii nchi kukwama kiasi hichi kwenye sekta muhimu ya utalii wakati kila kitu tunacho.
Kuwa na kitu ni jambo moja, kukitumia icho kitu kwa akili ni jambo lingine !

Israel walifanya program hii mwaka 2014 na ika pay big chini ya Netanyahu akiwa Waziri Mkuu, Rwanda wamefanya 2018 akiongoza Kagame mwenyewe na sasa unaona matunda ya aje wwnavyoteka soko la uwekezaji na utalii.

Kazi yenu ni kulalamika na kusifia wengine tu! Mnajulikana.
 
Endelea kuhamisha magoli kilaza unayejiita intelligence
Achana na mimi wewe msukule wa TAL ulipiga kelele wee wakati wa uchaguzi mkuu huku ukijitoa ufahamu kwa mambo ya kufikirika, mwenzako kapiga chenga kakwea pipa umeachwa bila 'future' sasa unajipendekeza kwenye shimo lenye giza
 
Achana na mimi wewe msukule wa TAL ulipiga kelele wee wakati wa uchaguzi mkuu huku ukijitoa ufahamu kwa mambo ya kufikirika, mwenzako kapiga chenga kakwea pipa umeachwa bila 'future' sasa unajipendekeza kwenye shimo lenye giza
Bado msimamo wako ni kuwa Kagame hajawai kufanya Royal Tour?😂
 
Hakuna mwekezaji anayekuja kunufaisha nchi au kugawana mapato nusu kwa nusu lakini kwa aina ya siasa za Tanzania hakuna atakayethubutu kwa sababu kiongozi yeyote anayechukua dola hujaribu kutengeneza urithi wake wa kipekee unaogusa hisia ama za wananchi wa kawaida au wenye nacho Mazingira ya Tanzania sio ya Rwanda wala Israel. Unetolea mfano wa Benjamin Netanyahu lakini hujasema enzi zake ndio rushwa nchini humo ilitamalaki hadi katuhumiwa kupewa rushwa na kukabili mashitaka hadi sasa
 
Kumbe tatizo lako umekariri na umeshajiaminisha mambo! Usivyo na akili we unawaza wizi tu! Kwa iyo hakuna lolote jema unaweza ona kutoka Kwa serikali!

Ndo mana unakuja na uongo tu humu kudai eti Kagame hajawai fanya Royal Tour! Kakojoe ukalale
 
Umekariri wapi?!

Kuhusu kupigwa Raisi! Mimi sina hoja hapo!. Ila kua na Raisi inovative kuutangaza utalii!!.
Nchi iliotajiri wa vivutio!! Tanzania.!!

Labda unieleze ulitaka Raisi gani angetangaza utalii Ili wetu awe na uhalali wa kuutangaza utalii.

Utumwaa!!! Wa ki fikraa!!.

Simpendi mama, na mpenda baba, Ila kwa hili naomba niendelee kunyonya ziwa la mama.

Lete faru john hapa!!
 
Aisee
 
Sioni ubaya wowote rais kutangaza utalii. Strategy ni baada ya kuchukua hizo clips.
Je watazionyesha wapi? Maana si ajabu zikatamba zaidi kwenye local media zikiongozwa na TBC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…