Rais huwa hatangazi Utalii

Rais huwa hatangazi Utalii

Acheni utumwa wa fikra, nasi tumepewa vichwa vya kutafakari na kufanya maamuzi sio kila kitu kuiga

Inawezekana hiyo approach ikaleta manufaa na wengine wakaiga
 
Ningependa sheria ya uzururaji holela immulike bibi na akamatwe ahojiwe. Mswahili kweli ni mswahil, ona msoga alivyokuwa alafu leo ndo starling wa movie. Hawa watu wanastahili kumwagiwa matope mvua zikianza
 
[mention]My Son drink water [/mention] ulitakuwa kusoma kwanza at least google kabla ya kuweka andiko lako. Mifano midogo tu Rwanda mhe. Kagame ambaye ni Rais wa nchi hiyo amefanya hiyo show then Poland pia Prime minister wake amefanya hivo so bro fanya research kabla ya kutoa povu kali.
 
Kwa hiyo ndugu yangu umetumia wiki nzima kuja na hoja dhaifu kiwango hiki.Ni wapi ulifundishwa kwamba Rais hapaswi kutangaza utalii au umekalili kua matangazo ni kutumia wasanii au wanamichezo.

Strategy za kufanya jambo hutofautiana na wakati.Usilinganishe na Rais wa nchi nyingine katika kutangaza utalii.Kila mtu ana mbinu zake.
 
Tutabishana tu bule ndugu zangu ,kwa maoni yangu naomba kama magreater thinkers tuje na njia/strategies zipi zifanyike ili tukuze utalii wetu.

Je nini kifanyike ili tukuze utalii nchini kwetu?

Basi tuweke hizo njia na zifanyiwe kazi na wahusika ili tusonge mbele
 
Royal tour ya Kagame ilikuwa imejaa Location kibao na filming kama ya Samia?
Hujui hata maana ya Royal tour, toto haramu wewe.
Sasa unafananisha idadi ya vivutio vya utalii kwa Rwanda na Tanzania?? Una akili kweli wewe??

Wewe unaejua Royal Tour ni nini Kwa nini umeshindwa kujua kuwa Rais Samia si Rais wa kwanza kufanya program ya Royal Tour!!

Jitahidini kutafuta exposure, ushamba unawadhalilisha huo
 
Kwani wale mabalozi walioteuliwa na Mwigulu kutangaza utalii wameshindwa?

Siyo heshima kwa mkuu wa nchi kujihusisha na vijambo vidogovidogo namna hii.

Nawalaumu sana wasaidizi wa mheshimiwa rais.
The President should be the last option!!!!.
 
Wewe mpumbavu,hebu tutolee hapa kichaa chako, unajua Kwanza maana ya Royal fala wewe?
Wewe unayejua maana ya Royal Kwa nini umeshindwa kujua kuwa Rais Samia sio Rais wa kwanza kufanya hii programu??

Punguza ushamba mwana chato! Unajidhalilisha!
 
Kwani wale mabalozi walioteuliwa na Mwigulu kutangaza utalii wameshindwa?

Siyo heshima kwa mkuu wa nchi kujihusisha na vijambo vidogovidogo namna hii.

Nawalaumu sana wasaidizi wa mheshimiwa rais.
The President should be the last option!!!!.
Punguzeni ushamba wana chato! Kwa iyo Kagame alivyofanya hii program mwaka 2018 alifanya akiwa Diwani huko Rwanda?
 
Kuna kifungu cha sheria au katiba unarejelea kinachomzuia Raisi kutangaza utalii?
 
kwa hiyo soon tutegemee serikali yetu kuifadhili timu ya mpira uingereza?
Tumechelewa sana kujitangaza kwa Dunia na kutumia fursa ya utalii Kwa kuingiza mapato makubwa.

Kwa Taarifa yako Tanzania ina vivutio vingi kuliko Misri, Morocco na South Africa ila inapokea watalii wachache sana kwa mwaka compared na hizo nchi.

Stratergy alioanzisha Rais Samia ndo njia tuliyopaswa kuifanya tangu miaka ya huko nyuma. Kwa iyo Rais Samia yuko sawa
 
Tatizo lako una hasira! Halafu unachanganya siasa na uchumi! Hueleweki ! You are a just poor mind purporting to be an intelligent mind! Acha Rais Samia akamilishe kazi yake then tuta measure impact yake!

Kiongozi wako yuko salama Segerea na usiwe na wasiwasi dona na maharage lipo la kutosha kule! Kama kasingiziwa ugaidi mahakama itam - acquit!
 
Hapo zamani za kale

FC5B012A-BF04-437F-ACC0-FEFAA209CA7E.jpeg
 
Back
Top Bottom