political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
- Thread starter
-
- #101
25% ya URANIUM inayozalisha umeme wao inatoka NIGER ilo tayari ni pigo kubwaMnachosahau,Ufaransa ilishaendelea kitambo kabla hata ya kukolonise hizo nchi.Ni sema tu wanaendelea kutumia any chance available as wenzetu wanawaza vizazi na vizazi vijavyo.
Ufaransa wameshapoteza trust ya Francophone countries,kwa hiyo nothing can be done,wasambaratike tu.Mbona wao wamesambaratisha uchumi wa nchi hizo for sixty years?Mkuki kwa Nguruwe kwa Binadamu mchungu si ndiyo,Niger and any Francophone country watakuwa wajinga sana kuendeleza ushirikiano wowote na France frankly.Ufaransa bila izo nchi uchumi wake una collapse faster ndio mahana hana pa kushika zaidi ya kukomaa kwenye izo nchi
Kama hawaja-exploit Africa they exploited other parts of the World binti,usipotoshe.Anyway kama unayosema ni kweli kwa nini Wabunge wa Bunge la Ufaransa wanamtaka afanye lolote linalowezekana kwa sababu France can't survive without Africa?Watch this👇Mnachosahau,Ufaransa ilishaendelea kitambo kabla hata ya kukolonise hizo nchi.Ni sema tu wanaendelea kutumia any chance available as wenzetu wanawaza vizazi na vizazi vijavyo.
Acha ushoga ,yani watu aina kama ndio viongozi enzi hizo waliowauza wananchi wao kwa shanga tu .mpaka sasa mataifa ya Afrika hayapo uhuru yanapambana kupata uhuru na mapambano yanaanzia kwa kiongozi halafu raia wanaunga kwahiyo wewe unataka awe upande wa mkoroni halafu kiongozi akiwa upande wa mkoroni munakuja kusema viongozi hawatuteteiHuyu atakipata anachokitafuta
Adui wa Afrika ni mwafrika mwenzake , huu upuuzi wa Ecowas huwez kuta ulaya wala Amerika yote .Waoga na wasiokuwa na umoja na wala rushwa ndiyo hunyanyasika. Je unafahamu kuwa Ethiopia haijawahi kutawaliwa? Tatizo la waafrica wengi huwa ni wanafiki utashangaa happ wanatokea wanalipwa kama akina Lisu na kuaza kusema ni makosa ila rasilimali zikiibwa siyo makosa.
Ni afadhali hayo kuliko kufanyiwa ushenzi huku unachekea.Huyu atakipata anachokitafuta
Ulitaka wawanyenyekee wazungu? Si bure wanatuiya Nyani huwa wako sahihiNg'ombe wa kafara.
Wanajazwa hewa na mjinga mmoja
Si bure mnaitwa Nyani wazunhu wako sahihi, Waafruca tulipaswa kuendelea kuwa nyani.make kwa kili kama hizi zako wako sawaHuyu atakipata anachokitafuta
Was*nge kama nyie muhame Afrika
Huyu kijana angekuwa na akili asingefanya huu ujinga wa vindege. Acha ndege fungua kesi za maana mahakama za kudai mali walizoiba kihalali utashinda Ila uwe makini usije ukawa kama Sankara waliokuzunguka wengi watakuwa raisi kununuliwa wakuue
Apparently ipoje?? Jazia nyama nyama mkuuNilisoma kwamba hali ya usalama kuzorota ndiyo chachu ya haya mapinduzi.
Apparently si hivyo tu
Wawe wamaondoka wakina nani?Ndege ya URUSI imetua kwenye uwanja uwo uwo unaosema umeshikiliwa na France na kingine wamepewa deadline zimebaki siku 5 wawe wameshaondoka
Uongozi hausomewi, uongozi ni karamaHahaha nimekaa miaka mitatu darasani nasoma Siasa na uongozi.
Amna = hamnaAmna wa kumfanya chochote
Jiwe alipaswa kufyeka mbali masalia ya jk yote..huyu mwamba kasawazisha vibaraka wote kwanzaNi suala la muda tu.
Alijaribu Jiwe kuhusu makinikia..
Hizo fitna alizokutana nazo, bila shaka anapoongoza malaika huwa haachi kuwasimulia
Sasa wewe unaona bora achukue hizo au aziachie?? Wewe una akili za kutawaliwaAkigundua mali zilizochukuliwa zina thamani kuliko hizo ndege mbili ataenda Ufaransa kufuata ndege zingine?
Sio mbili ndege 4 zimeshikwa na walioshika walikuwa na haki kabisa kufanya hivyo kama hao wa IPTL watakavyokamata chochote watakacho kuona nao kuna tatizo la elimu Tanzania kuhusu hizo kesi za kimataifa kila mtu ana haki hata akiwa beberu au Bepari ni pale wa African wanapofanya vitu bila kutumia akili ndio mambo yanakuwa mabaya alafu wanalaumu mabeberuWazo la kichoko yaani aliyekuambia hizo mahakama za dunia ni kwa ajili yetu nani?
Angeshika ndege zote izo mbili chache xnaa