Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Watu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.
Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao 😂😂
Analindwa na Kikosi Maalum cha Wagner kutoka Urusi.Anaisha kama digi digi ndio roll model wa Africa hana mda mrefu wazungu wana njia nying za kukumaliza
Ni ujinga tuu,kwani wewe Mwendazake mlikuwa mna mpendwa Kwa kipi Cha maana hasa Kwa maskini?Nadhani hujafatilia why anapendwa; ukijua kinacho sababishwa kupendwa kwake hakika wewe ndio utajiona MJINGA kaka. Just fatilia tu historia za nchi zinazo ongea Kifaransa hapa Africa, fatilia nchi zilizokua colonized with France, bro utafuta hi comment yako hapa
Tunabadiri topic au tuendelee na hi hi? Narudia tena, ukijua kinacho sababisha huyu kupendwa na wananchi wake, wewe ndio utajiona mjinga or ukijua nini France anakifanya kwenye nchi alizozitawala na alicho kifanya huyu jamaa baada ya kupindua, hiyo comment yako utaifuta wewe mwenyewe.Ni ujinga tuu,kwani wewe Mwendazake mlikuwa mna mpendwa Kwa kipi Cha maana hasa Kwa maskini?
Hakuna sababu za msingi zaidi ya sababu za kijinga kama nilivyoeleza hapo Juu.Tunabadiri topic au tuendelee na hi hi? Narudia tena, ukijua kinacho sababisha huyu kupendwa na wananchi wake, wewe ndio utajiona mjinga or ukijua nini France anakifanya kwenye nchi alizozitawala na alicho kifanya huyu jamaa baada ya kupindua, hiyo comment yako utaifuta wewe mwenyewe.
Kuna uzi upo humu kwamba wananchi wake wameamua na wao kuanza kumlinda usiku na mchana; wao ndio wanaishi nae, sio wajinga wale, mimi na wewe hatupo kule, hawawezi tu kuacha vitanda vyao for nothing, ipo sababu. Tuachane na habari za mwendazake kwenye jukwaa la kimataifa, kama vipi twende kule jukwaa la siasa, sio huku
Aliamini yuko mikono salama sio huku kwa marais mapunguaniAnafanya kwa maboya wenzie tu alipo kutana na putin akufanyq huu ujinga
Sasa Tanzania ina Hard top ngapi mpya si nyingi za kusimamia miradi sema anawidwaDogo anapiga kazi sana. Fedha za umma zinatumika kununulia vitu vya maana sio anasa kama Marais wengine. Nasikia alinunua Hard Top 400 kwa ajili ya usimamizi wa miradi.
Muongo? SecDah mwanangu unayajua haya Mambo Sana au sio?
Kijiweni hapa Kaka lazima tupate muda wa kufurahishanaMuongo? Sec
Nafikiri wabongo wengi wana hulka ya kupenda mtu yeyote maarufu wa kipekee au dramatic bila kujali huo umaarufu wake umetokana na nini, ndio maana utakuta bajaji zenye picha ya Pdiddy, Osama Bin Laden, Carlos Jackal, unaweza kuta mtu amening'niza picha ya Mao Zedong na Obama pamoja au Yasser Arafat na Netanyahu pamoja.Waafrika wanawapenda viongozi wanajeshi wao kweli, huku hapohapo wanadai demokrasia.
We Specialize In Contradiction.
Na pengine hata hajui historia au falsafa za huyo mtu vizuri.Nafikiri wabongo wengi wana hulka ya kupenda mtu yeyote maarufu wa kipekee au dramatic bila kujali huo umaarufu wake umetokana na nini, ndio maana utakuta bajaji zenye picha ya Pdiddy, Osama Bin Laden, Carlos Jackal, unaweza kuta mtu amening'niza picha ya Mao Zedong na Obama pamoja au Yasser Arafat na Netanyahu pamoja.
Kama ni kweli umefatilia historia ya French speaking countries na kinacho watokea na bado ukawa na mtazamo hu kwa huyo rais THEN sitashangaa tena why babu zetu waliweza kuwauza vijana wao wenye nguvu kwa waarabu na wazungu kama watumwa, lakini sitashangaa pia why wale watumwa ambao kiidadi walikua wengi kuliko kuliko mteja/wateja na kwa umoja wao walishindwa kuwaadababisha wafanyabiashara wale from Kigoma hadi Bagamoyo. Usikute ni wao pia walikua wakimsadia mkoloni pale alipopata tabu za njiani, nitaendelea pia kuamini kwamba sie tunapenda kutawaliwa zaidi kuliko kujitawala and nitaamini kwamba, sie tunaona fahari mtu wa nje ya bara letu kutuibia ma kupeleka kwao; nitaendelea mbele zaidi, why huaga tunakwenda kusoma shule? Is like shule kwetu haina msaada wowote, poor usHakuna sababu za msingi zaidi ya sababu za kijinga kama nilivyoeleza hapo Juu.
Mengine ni propaganda za Utawala
Kwa akili yako unahisi mema ya nchi yanaliwa ukIwa umevaa suti!? Huo ndo utumwa wa kifikra sasa.Ushamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?
Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.
Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana