Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

Nadhani hujafatilia why anapendwa; ukijua kinacho sababishwa kupendwa kwake hakika wewe ndio utajiona MJINGA kaka. Just fatilia tu historia za nchi zinazo ongea Kifaransa hapa Africa, fatilia nchi zilizokua colonized with France, bro utafuta hi comment yako hapa
Watu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.

Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao 😂😂
 
Nadhani hujafatilia why anapendwa; ukijua kinacho sababishwa kupendwa kwake hakika wewe ndio utajiona MJINGA kaka. Just fatilia tu historia za nchi zinazo ongea Kifaransa hapa Africa, fatilia nchi zilizokua colonized with France, bro utafuta hi comment yako hapa
Ni ujinga tuu,kwani wewe Mwendazake mlikuwa mna mpendwa Kwa kipi Cha maana hasa Kwa maskini?
 
Ni ujinga tuu,kwani wewe Mwendazake mlikuwa mna mpendwa Kwa kipi Cha maana hasa Kwa maskini?
Tunabadiri topic au tuendelee na hi hi? Narudia tena, ukijua kinacho sababisha huyu kupendwa na wananchi wake, wewe ndio utajiona mjinga or ukijua nini France anakifanya kwenye nchi alizozitawala na alicho kifanya huyu jamaa baada ya kupindua, hiyo comment yako utaifuta wewe mwenyewe.
Kuna uzi upo humu kwamba wananchi wake wameamua na wao kuanza kumlinda usiku na mchana; wao ndio wanaishi nae, sio wajinga wale, mimi na wewe hatupo kule, hawawezi tu kuacha vitanda vyao for nothing, ipo sababu. Tuachane na habari za mwendazake kwenye jukwaa la kimataifa, kama vipi twende kule jukwaa la siasa, sio huku
 
Hakuna sababu za msingi zaidi ya sababu za kijinga kama nilivyoeleza hapo Juu.

Mengine ni propaganda za Utawala
 
Maraisi wetu ni wanasiasa ndio maana sehemu kama hizo wanaenda na mdomo tu kwao ni silaha tosha ila mwamba aliingia kwa mtu hiyo ndo siraha yake kuu
Maisha hayana formula msikariri
 
Dogo anapiga kazi sana. Fedha za umma zinatumika kununulia vitu vya maana sio anasa kama Marais wengine. Nasikia alinunua Hard Top 400 kwa ajili ya usimamizi wa miradi.
Sasa Tanzania ina Hard top ngapi mpya si nyingi za kusimamia miradi sema anawidwa
 
Waafrika wanawapenda viongozi wanajeshi wao kweli, huku hapohapo wanadai demokrasia.

We Specialize In Contradiction.
Nafikiri wabongo wengi wana hulka ya kupenda mtu yeyote maarufu wa kipekee au dramatic bila kujali huo umaarufu wake umetokana na nini, ndio maana utakuta bajaji zenye picha ya Pdiddy, Osama Bin Laden, Carlos Jackal, unaweza kuta mtu amening'niza picha ya Mao Zedong na Obama pamoja au Yasser Arafat na Netanyahu pamoja.
 
Na pengine hata hajui historia au falsafa za huyo mtu vizuri.
 
Hakuna sababu za msingi zaidi ya sababu za kijinga kama nilivyoeleza hapo Juu.

Mengine ni propaganda za Utawala
Kama ni kweli umefatilia historia ya French speaking countries na kinacho watokea na bado ukawa na mtazamo hu kwa huyo rais THEN sitashangaa tena why babu zetu waliweza kuwauza vijana wao wenye nguvu kwa waarabu na wazungu kama watumwa, lakini sitashangaa pia why wale watumwa ambao kiidadi walikua wengi kuliko kuliko mteja/wateja na kwa umoja wao walishindwa kuwaadababisha wafanyabiashara wale from Kigoma hadi Bagamoyo. Usikute ni wao pia walikua wakimsadia mkoloni pale alipopata tabu za njiani, nitaendelea pia kuamini kwamba sie tunapenda kutawaliwa zaidi kuliko kujitawala and nitaamini kwamba, sie tunaona fahari mtu wa nje ya bara letu kutuibia ma kupeleka kwao; nitaendelea mbele zaidi, why huaga tunakwenda kusoma shule? Is like shule kwetu haina msaada wowote, poor us
 
Ushamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?

Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.

Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
Kwa akili yako unahisi mema ya nchi yanaliwa ukIwa umevaa suti!? Huo ndo utumwa wa kifikra sasa.
 
Back
Top Bottom