Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

Wizi wa kukwepa kodi wengi tunadhani ni ujanja. Na wengi wetu ni wala rushwa tu wee ukitaka kujua angalia vyana vya siasa. Uchawa kila kukicha yaani hadi kodi zetu zinageuzwa kuwani msaada kwetu.
Demokrasia ni ujinga kwa Afrika. Kuna wstu hawana impact yoyote
Hebu fikiria unauzia gesi muwekezaji , ukishamaliza unainunua hiyo gesi na kuanza kutugawia tena, huku ukitangaza kulinda Mazingira. Yaani Biashara ndani ya biashara
NI mfano unamuuza tembo kwa mnunuzi yeye atoe meno halafu akishatoa unakuwa pembeni kutuambia tuchukue nyama ,kwanini usingeuza meno wewe halafu ukatuambia tuchukue nyama? Utasema sitaki usumbufu. Kumbe maana hasa una wezi umewaajiri ambao wangefanya del kwenye uuzaji . Rushwa tupu. Sasa kwenye kuuza huyo tembo una hakika hawakufanya deal?
 
Hata yule wa syria si Rais, yule inatosha tu kuitwa kiongozi wa mapindizi ya syria, syrian coup leader. Huyu wa Burkina Faso anaingia na bastola hapo hajiamini, ana wasiwasi kupinduliwa na majeshi ya ECOWAS
Ukishakuwa kiongozi mkuu wa nchi,ktk nchi inayotambua kiongozi wa nchi ni rais basi haijalishi kiongozi huyo ameyapataje hayo madaraka ila atakuwa rais hivyohivyo.
 
Ukishakuwa kiongozi mkuu wa nchi,ktk nchi inayotambua kiongozi wa nchi ni rais basi haijalishi kiongozi huyo ameyapataje hayo madaraka ila atakuwa rais hivyohivyo.
haipendezi na haileti maana nzuri, aitwe tu kiongozi (wa kijeshi) wa Burkina Faso
 
Ushamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?

Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.

Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
Tafuta clips zake,msikilize ndio utajua hujui..
Tungepata viongozi kumi tu wa aina na mentality yake...Africa ingeheshimika..huyo ni meshing ulitaka ashinde kutwa na kikoy?
 
Huenda wana usalama wΓ  Ghana wamekitoa risasi kabla hajafika nacho eneo hilo.
Vyombo vya usalama haviwezi kuruhusu katikati ya kundi la viongozi wa nchi mtu mmoja aingie na kitu kama hicho tena kipo wazi wazi namna hiyo.
WELL SAID.
 
mkubwa sorry, hapa kitu unataka kumaanisha na kutwambia ni kama tuache kupambana na maisha sababu Kuna kifo?

adui huwezi jua anatokea wapi na saa ngapi, inabidi tu kujiwekelea fit kila pahali na kila saa juu hata iyo noma ikifika ikupate wewe ulifanya Kila kitu kujilinda.

same kwa maisha ya kila siku fanya ile kitu wewe unaeza ifanya bila excuses za mbona flani alipambana na hakufanikiwa au mbona flani na kupambana kote na bado amekufa.
 
Gathering of African brutal dictators
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…