Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Imeisha ipi?Amewatuliza wapi? Kuongoza wajinga kama nyie ni simple tuu ,mnalishwa propaganda na matumaini imeisha hiyo 😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeisha ipi?Amewatuliza wapi? Kuongoza wajinga kama nyie ni simple tuu ,mnalishwa propaganda na matumaini imeisha hiyo 😆😆
Mnaridhika na maneno ya propaganda ya Kutiwa moyo hata kama mfukoni hakuna kitu.Imeisha ipi?
😀😀Bunduki?
Umem copy lukas mwashambwa wa nini ? Siasa za kimataifa hajui, ye anajua vitu vinne tuTunataka na samia avae pisto kiunoni akiwa na sketi yake maridhawa.
Atanoga sana.
Cc: ChoiceVariable chiembe Lucas Mwashambwa johnthebaptist Nyani Ngabu Labella Extrovert Stuxnet
Wewe ndio huelewekiUshamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?
Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.
Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
Basi we ndo hukuona mbona alikuwa na hiyo bastola hata kwa putinAnafanya kwa maboya wenzie tu alipo kutana na putin akufanyq huu ujinga
Au sio?. Kwa hiyo kote ni vile vile tu?Mnaridhika na maneno ya propaganda ya Kutiwa moyo hata kama mfukoni hakuna kitu.
Ni Sawa na mnavyohubiriwa dini.
Ukishakuwa kiongozi mkuu wa nchi,ktk nchi inayotambua kiongozi wa nchi ni rais basi haijalishi kiongozi huyo ameyapataje hayo madaraka ila atakuwa rais hivyohivyo.Hata yule wa syria si Rais, yule inatosha tu kuitwa kiongozi wa mapindizi ya syria, syrian coup leader. Huyu wa Burkina Faso anaingia na bastola hapo hajiamini, ana wasiwasi kupinduliwa na majeshi ya ECOWAS
haipendezi na haileti maana nzuri, aitwe tu kiongozi (wa kijeshi) wa Burkina FasoUkishakuwa kiongozi mkuu wa nchi,ktk nchi inayotambua kiongozi wa nchi ni rais basi haijalishi kiongozi huyo ameyapataje hayo madaraka ila atakuwa rais hivyohivyo.
Ni mawazo yako mkuu.haipendezi na haileti maana nzuri, aitwe tu kiongozi (wa kijeshi) wa Burkina Faso
Tafuta clips zake,msikilize ndio utajua hujui..Ushamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?
Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.
Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
WELL SAID.Huenda wana usalama wà Ghana wamekitoa risasi kabla hajafika nacho eneo hilo.
Vyombo vya usalama haviwezi kuruhusu katikati ya kundi la viongozi wa nchi mtu mmoja aingie na kitu kama hicho tena kipo wazi wazi namna hiyo.
ndio ni mawazo yangu ila yana logicNi mawazo yako mkuu.
mkubwa sorry, hapa kitu unataka kumaanisha na kutwambia ni kama tuache kupambana na maisha sababu Kuna kifo?Kwahiyo hicho kibastola ndiyo kinamlinda?
Acha maskhara kijana.
Waziri mkuu wa Isreil Yizhak Rabin aligongwa shaba katikati ya kundi la walinzi wake wanaoo ogopwa duniani kote.
Waziri Mkuu wa India, Mama Indira Gandhi alichalazwa risasi akiwa katikati ya kundi la maaskari wake wenye AK47 za kutosha.
Sasa huyo hapo kibastola chake ndo kimpe ulinzi?😳
Hivi uliona namna Trump alivyokoswa koswa, angekuwa na bastola kwenye mazingira yale ingemsaidiaje?
Gathering of African brutal dictatorsRais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ndiye kiongozi pekee wa aliyekuwa jukwaa la VIP huku akiwa na pisto yake kiunoni.
Pia ndiye kiongozi pekee aliyeruhusiwa kuingia na walinzi wake jukwaa kuu.
Awali ilionekana asingehudhuria sherehe hiyo, ila akatokea dakika za lala salama.
Katika sherehe hizo, Tanzania tuliwakilishwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango.
==================================================
Burkina Faso's President Ibrahim Traore attended the inauguration of Ghana's President John Mahama.
In one of his rare foreign trips, President Traore enjoyed the privileges of being allowed to wear his military uniform, carry a pistol and have his own armed personal security.View attachment 3196677View attachment 3196678
He received loud cheers from the crowd.