Rais, Idara ya Afya OR-TAMISEMI ihamishie Wizara ya Afya chini ya Mganga Mkuu wa Serikali ili kuongeza Uwajibikaji, utakuja nishukuru baadae

Kujenga shule, hospitali, kutambua mahitaji ya wananchi katika maeneo yao, kutoa hamasa nk. Utaalamu ubaki wizara mama.

Ujenzi wa miundombinu ya maji na barabara ubaki wizara mama za maji na ujenzi mtawalia!
Safi sana
 
Muundo waTamisemi ,upitiwe upya na kufanyiwa maboresho.Kwa kuwa Tamisemi ipo ofisi ya Rais, majukumu yake yawe ya uratibu wa shughuli mbalimbali zinazofanywa na wizara za Serikali mikoani na kuacha wataalaam wawe wanaripoti kwenye wizara mama kitaaluma.
-Siyo watumishi wa wizara ya Afya ndiyo wanaripoti kwa DED , watumishi wa Elimu,Ardhi, Biashara,Kilimo nk wanaripoti kwa DED.
-Kuna sintofahamu, kwa viongozi wa kisiasa kuwasimamia wataalaam wa fani, matokeo yake Ni kukomoana,hasa kama unasimamia maadali ya taaluma yako, hususani yanapokwenda na utashi wa wajumbe au kama wanasiasa wana upeo mdogo wa fani husika.

Ushauri
-Tamisemi iwe inaratibu shughuli za wizara mbalimbali mikoani na wilaya.
-Tamisemi ibakiwe na watendaji wa vijiji/serikali,kata na taarafa na wafanyakazi wa halmashuri za miji, Manispaa na majiji.
 
Tarafa iko chini ya serikali kuu. Ni nafasi chini ya DC
 
Halafu hao Wakurugenzi watasimamia kina Nani?
Watasimamia out put ya vitu kama shule ngapi wamejenga au kuongeza, hospital ngapi wameongeza kwenye sehemu husika ila wataalamu au wanaoajiliwa kwenye sekta ya afya na elimu wasimamiwe na wizara husika.
 
Kujenga shule, hospitali, kutambua mahitaji ya wananchi katika maeneo yao, kutoa hamasa nk. Utaalamu ubaki wizara mama.

Ujenzi wa miundombinu ya maji na barabara ubaki wizara mama za maji na ujenzi mtawalia!
Haswaaa!!! Maana hata masoko na stendi wanajenga lakini hawaleti madreva Wala kukusanya Kodi za wafanyabiashara.
 
Muundo waTamisemi ,upitiwe upya na kufanyiwa maboresho.Kwa kuwa Tamisemi ipo ofisi ya Rais, majukumu yake yawe ya uratibu wa shughuli mbalimbali zinazofanywa na wizara za Serikali mikoani na kuacha wataalaam wawe wanaripoti kwenye wizara mama kitaaluma.
-Siyo watumishi wa wizara ya Afya ndiyo wanaripoti kwa DED , watumishi wa Elimu,Ardhi, Biashara,Kilimo nk wanaripoti kwa DED.
-Kuna sintofahamu, kwa viongozi wa kisiasa kuwasimamia wataalaam wa fani, matokeo yake Ni kukomoana,hasa kama unasimamia maadali ya taaluma yako, hususani yanapokwenda na utashi wa wajumbe au kama wanasiasa wana upeo mdogo wa fani husika.

Ushauri
-Tamisemi iwe inaratibu shughuli za wizara mbalimbali mikoani na wilaya.
-Tamisemi ibakiwe na watendaji wa vijiji/serikali,kata na taarafa na wafanyakazi wa halmashuri za miji, Manispaa na majiji.
Kumbe watu wengi wanaona mvurugo huu wa TAMISEMI
 
Back
Top Bottom