CattleRustler
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 1,055
- 468
Rose mna hati miliki nalo? si Waridi hilo? Mbona Waislaam wengi sana wanaitwa Warda = Rose.
Hivi bila kuleta viroja hamuoni uroda?
Kwa mema gani aliyoifanyia Tanzania ambayo ni ya kipekee (Special merits) kwamba anatakiwa kupewa ubunge wa bure tuongezea mzigo mzito walipa kodi. Amerudhishwa UN for under performance sisi tunamzawadia ubunge wa bure. Hii nchi itatuchukua miaka mingi mno kuendelea
Huyu aliondoka New York aliwaambia marafikize kuwa anaenda kuwa Prime Minister.Kashindwa UN, linakwenda Idodomie, tuone kama 2015 atapata ulaji wowote?
Mambo ya hati miliki unajua wewe mdini. yeye mwenyewe hanashida anajiita Asha-Rose. Kwanza hata jina Asha linatumiwa na wakristo na wasiokuwa na dini. Nazani hata jina lenyewe ni la kihindi au dini ya hindu kabisa
Maandalizi ya URAISI-2015 kwa hoja ileile kuwa safari hii "tumpe mwanamke" kama ilivyokuwa kwa spika wa Bunge.
Swali ni je,Watanzani wako tayari kuongozwa na Raisi mwanamke kwa kigezo hicho hicho cha "safari hii tumpe mwanamke"....???
Eee Mungu wa Mbingu na Nchi tuwezeshe tupate Katiba inayotokana na sisi Wanaichi na si itokanayo na utashi wa vyama vya siasa,maana bila hivyo kiongozi wa Nchi atakuwa anafanya vyovyote vile anavyotaka na haya ni majanga kwa Taifa la Tanzania.................!!!!!!!!
Katiba inamruhusu. Huenda akam.replace waziri wa elimu aliyetajwa kuwa kilaza!
Kashindwa UN, linakwenda Idodomie,
tuone kama 2015 atapata ulaji wowote?
Kuna dot.........fulani na mizunguko yake ya Chama, haya tuone kamati kuu itaamua mgombea awe mwanamke kama walivyo fanya kwa spika wa bunge. Tusubiri tuone