Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
Mungu hawezi kubariki walio prove failure.Sisi hatu taki makapi ya UNWatanzania tunaumwa CHUKI.......Hongera Mama Migiro....maneno tumeumbiwa waja sie......
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!
Mungu hawezi kubariki walio prove failure.Sisi hatu taki makapi ya UNWatanzania tunaumwa CHUKI.......Hongera Mama Migiro....maneno tumeumbiwa waja sie......
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!
Alimuomba arudi wapi,alitemwa huko UN.alianza kuongoza ki TZ,ile ya kufumbia uovu.Wazungu ujinga hawatakiMbona nasikia kikwete alimuomba arudi
Well; of course....
Ukipwaya unaleta anaye pwaya mwenzako.Umlete mjuaji akuumbue.JK mjanja.hawezi kuleta wajuaji.ni zube tu ndiyo anawatakaMbona hata yeye anapwaya!?c ajiuzuru tu tume itangaze uchaguzi
Du!
Haya sasa, jembe hilo.
Mawaziri 5 mliotajwa kuwa ni vilaza kaeni mkao wa kuondoka!
Huyu mama anatia huruma kweli,alionyesha kachoka sana,siasa zenyewe hawezi,sasa mwacheni apate ahueni.we kufukuzwa UN usichanganyikiwe kwa nini.
Hahaha....
Na kama atamteua kwenye cabinet reshuffle ni lazima aonyeshe ana utaalamu exceptional ambao hauwezi kupatikana ndani ya wabunge wa CCM.
Next time atampa Kinana Ubunge kuelekea general Election
Kesho Headline utaskia, Migiro Aula....
Nawashangaa watu wanaolaumu JK kumteua mtu aliye-underperfom UN kuwa mbunge wakati alimteua mtu aliye-underperfom UNHABITAT kuwa Minister
Ahsante mkuu kwa quote yako maana hawa jamaa wanaficha ficha ilikumlindia heshima.Ni mambo yao ya kulindana wakati mtu alikuwa na poor performance UN.Huyu ata kuwa mzigo mzito kweliBarely a week after the immediate former Deputy Secretary-General, Dr. Asha Rose Migiro returned to Tanzania after serving a five-year term at the helm of the world body, sources within the UN have hinted that poor performance and failure to fit in the diverse and complicated body were some of the reasons she was refused a contract renewal.
Chanzo:Voxmedia
Anaitwa Asha-rose. Naona udini unakusumbua mpaka umeondoa rose mwishoni.
Mkuu huyo Tiba si nisawa tu na Rose Kigamboni yenyewe ina mshinda kuiweka sawa.Mkuu ni serikali ya walio shindwa.Umena eeh!
Agenda ni moja!Vipi January Makamba? Mbona na yeye katangaza nia ila anatafuta kwanza pesa za kuendeshea nchi. Kabla ya 2015 tutaona na kusikia mengi.
Mkuu kumbe yuko free halafu anazukunguka na akina Nape.Vijana mafundi wale wasimnanihi..kwaniniHuyo kirusi FaizaFoxy kwa udini humuwezi ndo matatizo ya kuishi bila mme wa kueleweka.
Sasa hivi hatutaki salamaleku.Tumechoka.tupumzike kidogo baglashiaAgenda ni moja!
Huyo Makamba ndiyo hafai kabisa.Umesha julikana uwezo wake.simply hawezi.Mi siyo mdini sana lakini htuwezi kurudia kosa la Jk.wala siyo siri hawa jamaa wana wekana wenyewe.Tukikosea tena nchi itakuwa ya kiislamu.wanamipango mizitosanaAgenda ni moja!
Tuna mshukuru Mungu hata hatua hii tuliofikia.Maana maccm walikuwa hawataki katiba kufanyiwa marekebisho hata nuctaMaandalizi ya URAISI-2015 kwa hoja ileile kuwa safari hii "tumpe mwanamke" kama ilivyokuwa kwa spika wa Bunge.
Swali ni je,Watanzani wako tayari kuongozwa na Raisi mwanamke kwa kigezo hicho hicho cha "safari hii tumpe mwanamke"....???
Eee Mungu wa Mbingu na Nchi tuwezeshe tupate Katiba inayotokana na sisi Wanaichi na si itokanayo na utashi wa vyama vya siasa,maana bila hivyo kiongozi wa Nchi atakuwa anafanya vyovyote vile anavyotaka na haya ni majanga kwa Taifa la Tanzania.................!!!!!!!!