Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge

Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge

Rais Kikwete amemteua Dr Asha-rose Mtengeti Migiro kuwa mbunge wa bunge la Tanzania kuanzia jana Jumatatu.

Uteuzi umetangazwa rasmi jioni hii Ikulu ya Dar es salaam
Kwanini mnatuletea mtu aliye fukuzwa UN tena kwa kutajwa alikuwa na poor performance.Huu udokta wa TZ niwamakaratasi tu.Huyo mama kiukweli alitutia aibu kweli UN.Hana lolote huyo mdada
 
Wangempa jimbo akagombea na wengine kupitia sanduku la kura!Hv unategemea akiingia bungeni atachangia nini mbele ya mtu kama Sugu au lema au msigwa ambao majimbo wameyapigania wenyewe!Mama wa watu atakuwa anaangusha kilio kila siku!

Hana lolote analoenda kufanya bungeni zaidi ya kusaidiwa posho za kujikimu kimaisha!Afadhali hata Tibaijuka aliyegawa pilau akapitishwa kuliko huyu anayesubiri huruma za marafiki!

Anyway nyie tuleteeni tu vilaza,CDM tutapigana na yeyote atakayetokeza mbele yetu!

PANYA ni PANYA tu,liwe dume au jike,yote MAPANYA tu!
 
hukujua mkuu?. Mheshimiwa kwenye dini hafanyi kosa,nenda kw a wakuu wa wilaya,mkoa wakurugenzi,nenda hata udom uta shangaa kuona salamaleku zilivyo jaa

sua
mzumbe
udsm
ardhi
ifm
ustawi
cbe
muhimbili univ
nk...

Je vile vyuo ni vya kanisa ??

Ina maana taasisi ikiongozwa na muislam ni kosa ??

Mbona nyinyi makafiri wakristo mnaongoza hakuna kwere ?? Makafiri jirekebishen sasa hii nchi wote tuna haki .

Makafiri wakubwa nyie
 
Huwezi kutoa hoja yako mpaka ukashifu dini nyingine?Kuna sababu gani ya kuita MAKAFIR wakati unajua dini inaitwa WAKRISTU?Haya hongera basi wewe KAFIR mdogo!
 
Anaitwa Asha-rose. Naona udini unakusumbua mpaka umeondoa rose mwishoni.

Rose mna hati miliki nalo? si Waridi hilo? Mbona Waislaam wengi sana wanaitwa Warda = Rose.

Hivi bila kuleta viroja hamuoni uroda?

When she made history last year, becoming Tanzania's first woman foreign minister, some people started referring to her as the "Condoleezza Rice of Tanzania".

But Mrs Migiro, a seasoned human rights champion, preferred the title "Dr Asha-Rose of Tanzania".
She is a Muslim, has a law doctorate from Germany, and is described as hardworking, modest and a down-to earth politician.

Source: BBC NEWS | Africa | Profile: 'Tanzania's Condi'

Huwezi kutoa hoja yako mpaka ukashifu dini nyingine?Kuna sababu gani ya kuita MAKAFIR wakati unajua dini inaitwa WAKRISTU?Haya hongera basi wewe KAFIR mdogo!

UMEONA HYO HOJA YA KILASI MKUU ??

HIVI HIYO HOJA UMEIONA YA MAANA SANA ??

Ache I kubagua dini za watu MAKAFIRI NYIE MAKU
 
poor leader robber the resource of poor people.mh.rais kikwete your poorest leader of all bora mobutu seseseko kuliko wewe
 
Acheni kuongea vitu havipo,huyu Mama kafanya vizuri UN kamaliza mkata karudi home,nongwa yanini?
 
Yan akichaguliwa Mwislam inakuwa nogwa sana,jana kachaguliwa Mramba Tanesco kasifiwa na wengine wamesema mlokole safi,leo Mkurugenzi wa makosa ya jinai mkristo hamna nogwa!!hivi waislam wanawekwa daraja gani nchi hii,tusipoangalia huko tuendako tutachinjana.Hii nchi yetu wote.
 
sua
mzumbe
udsm
ardhi
ifm
ustawi
cbe
muhimbili univ
nk...

Je vile vyuo ni vya kanisa ??

Ina maana taasisi ikiongozwa na muislam ni kosa ??

Mbona nyinyi makafiri wakristo mnaongoza hakuna kwere ?? Makafiri jirekebishen sasa hii nchi wote tuna haki .

Makafiri wakubwa nyie

Na wakifa kwa Mungu Virungu!!!
 
Rose mna hati miliki nalo? si Waridi hilo? Mbona Waislaam wengi sana wanaitwa Warda = Rose.

Hivi bila kuleta viroja hamuoni uroda?

Na Augustino Ramadhan utamuhitaje? Hivi unasumbuliwa na Menopause au ni nini hasa?
 
Acheni kuongea vitu havipo,huyu Mama kafanya vizuri UN kamaliza mkata karudi home,nongwa yanini?

Ficha upumbavu wako, mbona Ban Kimoon bado yupo?

Asha ame-under perfom UN na wala si vinginevyo, ni sawa na Lowasa kuitwa Waziri mkuu mstaafu na waliopigwa chini ubunge kuitwa wabunge wastaafu.
 
Ficha upumbavu wako, mbona Ban Kimoon bado yupo?

Asha ame-under perfom UN na wala si vinginevyo, ni sawa na Lowasa kuitwa Waziri mkuu mstaafu na waliopigwa chini ubunge kuitwa wabunge wastaafu.

Akili mali,kusoma huwezi hata picha huelewi!! Nafasi ile haufululizi huwa wanapokezana boya wee!!ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom