Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
Mzee mwenyewe ni fundi wa hiyo idaraHivi anamme?, isijekuwa nyumba ndogo. kwikwikwikwiiiiiiii
Mzee mwenyewe ni fundi wa hiyo idaraHivi anamme?, isijekuwa nyumba ndogo. kwikwikwikwiiiiiiii
Mmh feminist? Alishiriki wapi ufeministi? Wala hauamini...akiwa UD zilikuwa mbwembwe za nitoke vipiYule mama ni feminist sana,waulize waliosoma UD miaka hiyo,kitivo cha sheria
.Kweli mkuu yaani Bank Moon hataki hata kumsikia.Alishindwa kule.Alifikiri muda tu umeisha akajaribu kurenew.Akatolewa nje kwa aibu kubwa.Ndiyo anaokotwa na wasamalia wema hivyoCCM wana vituko!! huyu tu hajawahi kusimama akiwa mgombea mbele za wananchi!!!! anabebwabebwa tu!!
Hata kwa Sospeter Mhongo mlisema hivihivi matokeo yake tumeliaHongera migiro, kikwete hujakosea
naona anataka ampumnzishe mahali fulani.mbona serikali ya jk ni ya mapumnziko.kuchapa kazi siyo ajenda yao.kama ni mchapa kazi unaweza kukosa sifaRais Kikwete amemteua Dr Asha-rose Mtengeti Migiro kuwa mbunge wa bunge la Tanzania kuanzia jana Jumatatu.
Uteuzi umetangazwa rasmi jioni hii Ikulu ya Dar es salaam
Kiukweli Migiro alifukuzwa UN.Ni lugha za kiutu uzima zilitumika
sASA HUYU NDIYE ATAPAMBANA NA LIPUMBA WA CUF, ZITTO WA CDM NA HASHIM RUNGWE WA CHAUMMA SAWASAWA NA MALENGO.
Vipi January Makamba? Mbona na yeye katangaza nia ila anatafuta kwanza pesa za kuendeshea nchi. Kabla ya 2015 tutaona na kusikia mengi.
Huyu mama wa ajabu.Kumbe alisema anarudi kwenye kazi yake UDSM ambayo aliombalikizo isiyo na malipo asifundishe hata kipindi kimoja.Kinyume chake ameanza kujizungukia na akina Nape kwenye ujinga wa kuropoka.Hana lolote.Hata kwa Sospeter Mhongo mlisema hivihivi matokeo yake tumelia
Kwa mema gani aliyoifanyia Tanzania ambayo ni ya kipekee (Special merits) kwamba anatakiwa kupewa ubunge wa bure tuongezea mzigo mzito walipa kodi. Amerudhishwa UN for under performance sisi tunamzawadia ubunge wa bure. Hii nchi itatuchukua miaka mingi mno kuendelea
Huyu mama anaweza sana hata UN amefanya vizuri. Nampongeza sana mama migiro. Pengine anarudishwa mambo ya nje membe anatafutiwa wizara nyingine just guessing.
Huyu mama anaweza sana hata UN amefanya vizuri. Nampongeza sana mama migiro. Pengine anarudishwa mambo ya nje membe anatafutiwa wizara nyingine just guessing.