Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge

Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge

Mliambiwa na marehemu Sheikh Yahya kuwa kuchagua Kiwete ilikuwa ni sawa na kuchagua Mwanamke!Kazi yake ni kujaza wanawake Bungeni Alishawapa Sipika mwanamke naona anawa andalia sijui Rais wa 2015 au PM!
CCM haweshi vituko.
 
Dalili ya mvua ni mawingu na mwenye macho haambiwi tazama.

Kwa kuzingatia hiyo misemo miwili,kuna kila dalili ya kuvunjwa kwa baraza la mawaziri na baraza jipya kutangazwa hivi karibuni.e Ninachokiano ni kuwa waziri mkuu wa sasa atawekwa kando na nafasi yake yake kuchukuliwa na huyu mama X.Pamoja na sababu zingine ni kumuandaa huyu mama kuwa mgombea uraisi kupitia chama tawala.Huyu mama inaonekana ni kipenzi cha Raisi wetu na huu uteuzi wake si bure.

Ikumbukwe hata waziri mkuu wa sasa ameonekana kupwaya na hivyo ataondoka sambamba na mawaziri wengine a.k.a mawaziri mizigo.

Tusubiri tuone.

Umekurupuka wewe,anawezaje kuwa Waziri Mkuu kama sio mbunge wa kuchaguliwa jimboni?akili fupi tuu ndo itaamini huu ujuha,Pinda atamaliza salama kipindi chair,tatizo hamjui siasa
 
Rais Kikwete amemteua Dr Asha-rose Mtengeti Migiro kuwa mbunge wa bunge la Tanzania kuanzia jana Jumatatu.

Uteuzi umetangazwa rasmi jioni hii Ikulu ya Dar es salaam

Hongera Asha-Rose

Tafadhali kubali uteuzi huu kwa roho safi uwatumikie Watanzania

Nikutakia kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Ritz mkorofi sana,

UNASEMA WATU WANASHANGAA MIGIRO KUFELI UN,NA WANASHINDWA KUSHANGAA MTU KUFELI UPADRI??

:laugh:
 
Last edited by a moderator:
Shukuru,Jumanne,David,Malima,Sophia,Chiza,Simbachawene;wataponea kweli???
 
Kwa mema gani aliyoifanyia Tanzania ambayo ni ya kipekee (Special merits) kwamba anatakiwa kupewa ubunge wa bure tuongezea mzigo mzito walipa kodi. Amerudhishwa UN for under performance sisi tunamzawadia ubunge wa bure. Hii nchi itatuchukua miaka mingi mno kuendelea

haa!kumbe un halikimbizwa
 
Umekurupuka wewe,anawezaje kuwa Waziri Mkuu kama sio mbunge wa kuchaguliwa jimboni?akili fupi tuuP ndo itaamini huu ujuha,Pinda atamaliza salama kipindi chair,tatizo hamjui siasa

Pamoja na ukweli huo huyu mama ndie chaguo la mkuu wa kaya.

Kama alivyobebwa Makinda na huyu nae atabebwa kwa style ile ile!
 
Duh!CCM kweli majanga!
Yaani mmetuingizia magari feki ,mayai feki,mafuta feki,dawa feki,kampuni feki,mmetutengenezea barabara feki,kauli mbiu feki(kilimo kwanza,mkukuta n.k.),sasa naona mnatuwekea mpaka VIONGOZI FEKI!

Kweli CCM ni Chama Cha Majanga!
Ondoa CCM madarakani kwa maendeleo ya Taifa letu!
 
Dalili ya mvua ni mawingu na mwenye macho haambiwi tazama.

Kwa kuzingatia hiyo misemo miwili,kuna kila dalili ya kuvunjwa kwa baraza la mawaziri na baraza jipya kutangazwa hivi karibuni.e Ninachokiano ni kuwa waziri mkuu wa sasa atawekwa kando na nafasi yake yake kuchukuliwa na huyu mama X.Pamoja na sababu zingine ni kumuandaa huyu mama kuwa mgombea uraisi kupitia chama tawala.Huyu mama inaonekana ni kipenzi cha Raisi wetu na huu uteuzi wake si bure.

Hata hivyo,huenda katiba hairuhusu mbunge wa kuteuliwa kuwa waziri mkuu lakini anaweza kupewa wizara nyeti kwa sababu hiyo tu.

Ikumbukwe hata waziri mkuu wa sasa ameonekana kupwaya na hivyo ataondoka sambamba na mawaziri wengine a.k.a mawaziri mizigo.

Tusubiri tuone.

Labda uniambie wanataka awe waziri mkuu ajae kama chama cha mafisadi kitashinda..
 
Back
Top Bottom