Rais Kikwete amemteua Dr Asha-rose Mtengeti Migiro kuwa mbunge wa bunge la Tanzania kuanzia jana Jumatatu.
Uteuzi umetangazwa rasmi jioni hii Ikulu ya Dar es salaam
We gaidi nani atakuchagua?
Ficha upumbavu wako, mbona Ban Kimoon bado yupo?
Asha ame-under perfom UN na wala si vinginevyo, ni sawa na Lowasa kuitwa Waziri mkuu mstaafu na waliopigwa chini ubunge kuitwa wabunge wastaafu.
Nilitegemea kitu kama iki...kifuatacho utasikia Mgombea wa urais CCM lazima awe mwanamama!!
Centre for Political IntelligenceRais Kikwete amemteua Dr Asha-rose Mtengeti Migiro kuwa mbunge wa bunge la Tanzania kuanzia jana Jumatatu.
Uteuzi umetangazwa rasmi jioni hii Ikulu ya Dar es salaam
Rais Kikwete amemteua Dr Asha-rose Mtengeti Migiro kuwa mbunge wa bunge la Tanzania kuanzia jana Jumatatu.
Uteuzi umetangazwa rasmi jioni hii Ikulu ya Dar es salaam
Kwa mema gani aliyoifanyia Tanzania ambayo ni ya kipekee (Special merits) kwamba anatakiwa kupewa ubunge wa bure tuongezea mzigo mzito walipa kodi. Amerudhishwa UN for under performance sisi tunamzawadia ubunge wa bure. Hii nchi itatuchukua miaka mingi mno kuendelea
Recycling, Re-use, Reduce. Hizo "R" mbili za kwanza ziliasisiwa na muasisi wa Chama (RIP). JK ameziboresha tu.I hate this recycling!!!!
Na kwa nini huyu tu, au analika???Huyu mama ni kuteuliwa tu. UN alishindwa, viti maalum alishindwa , sasa amerudhishwa. ila anabebeka.
Hahaha....
Na kama atamteua kwenye cabinet reshuffle ni lazima aonyeshe ana utaalamu exceptional ambao hauwezi kupatikana ndani ya wabunge wa CCM.
Next time atampa Kinana Ubunge kuelekea general Election
Kesho Headline utaskia, Migiro Aula....
Nawashangaa watu wanaolaumu JK kumteua mtu aliye-underperfom UN kuwa mbunge wakati alimteua mtu aliye-underperfom UNHABITAT kuwa Minister
Yan akichaguliwa Mwislam inakuwa nogwa sana,jana kachaguliwa Mramba Tanesco kasifiwa na wengine wamesema mlokole safi,leo Mkurugenzi wa makosa ya jinai mkristo hamna nogwa!!hivi waislam wanawekwa daraja gani nchi hii,tusipoangalia huko tuendako tutachinjana.Hii nchi yetu wote.
Hana tofauti na Zakia MeghjiHuyu mama ni kuteuliwa tu. UN alishindwa, viti maalum alishindwa , sasa amerudhishwa. ila anabebeka.
Soon JK anampa uwaziriHuyu aliondoka New York aliwaambia marafikize kuwa anaenda kuwa Prime Minister.
Ungetuwekea uthibitisho tukajua jinsi mwalimu wake Tundu Lisu alivyo- under perform UN.
Centre for Political Intelligence
Why Dr. Migiro lost her UN job
Posted on July 11, 2012 by VoxMedia
Barely a week after the immediate former Deputy Secretary-General, Dr. Asha Rose Migiro returned to Tanzania after serving a five-year term at the helm of the world body, sources within the UN have hinted that poor performance and failure to fit "in the diverse and complicated body" were some of the reasons she was refused a contract renewal.
"The position of the Deputy Secretary-General is complicated and demanding; it requires somebody who is experienced to efficiently run the Secretariat. Her biggest challenge was not understanding the politics at the world body and creating alliances," the source told Vox Media in a telephone conversation.
Dr. Migiro is understood to have approached the African Group, comprising 28 percent of all UN members, to ask for help in lobbying for her re-appointment, but her quest was rejected.
"She wasn't popular amongst diplomats; so nobody listened to her. You should also recall that her appointment was widely criticized."
In Dar es Salaam, a former senior ruling party secretariat member who worked closely with her in the same team before she assumed the UN post said her appointment was influenced by her personal relationship with President Jakaya Kikwete.
It is understood that President Kikwete and UN Secretary-General Ban Ki-moon cultivated a close relationship when serving as foreign ministers for their respective governments.
When it came for Ban Ki-moon to canvass for votes toward his UN bid, Tanzania's vote was predominant; Dr. Migiro was apparently battered with Kikwete's vote.
But when Ban Ki-Moon recently decided to review his entire team in a bid to control growing criticism of his team, Dr. Migiro had to go for "poor performance and lack of experience required of staff with the top UN mandate."
This entry was posted in Analysis. Bookmark the permalink.