Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge


Wewe Mbona uli Under Perform Kwenye Uchaguzi uliopita wa Bavicha lakin Josephine Mushumbus kakuteua kuwa Mtetezi wa Hawara wake wa 'Ndoa' humu Mtandaoni?
 
Hapa lazima Chama cha kikanda muombe poo.

Hongera Jakaya, Hongera CCM, Hongera Migiro.

.
 
nadhani anamwandaa kugombea ''ulaishiiii'' ifikapo 2015
 
Safi sana rais mpe wizara kabisa huyo mama jembe ataweza kuchapa kazi kwa moyo na uadilifu anaweza pia anakipaji cha uongozi.
Mgombea urais kwa kupitia CCM 2015!sijui nae ccm wataweka zengwe anatoka kaskazini
 
Rais wa JMT Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua mwanadiplomasia Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge wa Bunge la JMT.

Hongera sana Mama Migiro kwa uteuzi huo. Hongera Rais kwa uteuzi madhubuti.

Mungu Ibariki Tanzania...
 

Does scale matter? To a crowned and experienced doctor? Thats naive excuse bloke! Aint support ur argument. A country with 45m people still picking a reject just because of magnitude of the work, nah!! BKM sees us as morons,not serious!!
 
vyeo vya kupeana na kujuana ndo sera ccm.kuna wasomi vijana wako mitaani wanahangaika tu.then naibu katibu mkuu wa un mstaafu anapewa cheo
 
Uwaziri unanukia,Hongera sana raisi kwa kumteua Migiro.

sheria na katiba tayari; chikawe mziki wa Tundu lissu anamsumbua kwa hiyo aliyefeli UN anaweza kuongoza WATZ hasa uraisi wa CCCCCCCCCCCM
 
Nina msubiri kwa hamu sana 2015 mwanga... ni mlaini kuliko wanavyodhani... hongera migiro kama ni kweli nakusubiri jimboni mwanga 2015. Yes...


Hauwezi kushinda jimbo la Mwanga.

Hapa hatuongozwi na wahuni wanaomwagia watu tindikali.

Hapa hatuongozwi nipo na akili ndogo. Ref. Msuya na sasa ni Ptof. Maghembe.

Sahau ubunge wilaya ya mwanga, huku hakuna wanywa viroba.

Go go Migiro mwana wa kaya.
 
Rais wa JMT Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua mwanadiplomasia Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge wa Bunge la JMT.

Hongera sana Mama Migiro kwa uteuzi huo. Hongera Rais kwa uteuzi madhubuti.

Mungu Ibariki Tanzania...
ndioo!!!!!!!!!! zimeongezeka
 
Anatoka kaskazini,na nyie ccm kupitia ridhwan pwani mlishakataa rais kutoka kaskazini itakuaje 2015?
 
vyeo vya kupeana na kujuana ndo sera ccm.kuna wasomi vijana wako mitaani wanahangaika tu.then naibu katibu mkuu wa un mstaafu anapewa cheo

asharose phd holder, we we na gentle unataka mbunge , we umepoteza muda mrefu kwenye desa hata humfikii prof. maji marefu >hon. stevennnn Ngonyannni
 
Mungu akikunyooshea ananyoosha tuuu.NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Anakwenda kuziba nafasi ya mmoja wa mawaziri mizigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…