Rais kaamua kuleta mabasi ya mwendokasi mapya kabisa?

Rais kaamua kuleta mabasi ya mwendokasi mapya kabisa?

Dullah07

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2017
Posts
220
Reaction score
475
Nimepita katika U Turn ya Shekilango kurudi Ubungo nimekutana na msululu wa mabasi ya mwendokasi mapya kabisa yakitokea njia ya Mbezi kurudi town.

Hakika Mama yangu Rais Samia matunda ya kazi yako nayaona na Mungu akulinde katika kila hatua yako.
 
Nimepita ktk u turn ya shekilango kurudi ubungo nimekutana na msululu wa mabasi ya mwendokasi mapya kabisa yakitokea njia ya mbezi kurudi town.Hakika mama angu rais samia matunda ya kazi yako nayaona na Mungu akulinde ktk kila hatua yako.
Mabasi yamebandikwa stika mpya we unasema mapya? Stika za Neel Salt wametoa wameweka matangazo mapya we unaita gari mpya acha uchizi
 
Unataka kusema ndani ya miezi mitatu, amenunua mabasi na kuyafikisha nchini na tayari yako barabarani, mhhh
 
Aisee hujui kuwa yalikuwepo hapo bandarini kitambo
Wala cfahamu ndo nimekutana nayo leo
Mabasi yamebandikwa stika mpya we unasema mapya? Stika za Neel Salt wametoa wameweka matangazo mapya we unaita gari mpya acha uchizi
Usijifanye mjuaji wakati hakuna unachojua kwani mm siwezi tofautisha kitu kipya na used wkt kipya kinaonekana hata kwa macho wala huitaji kwenda shule
 
Nimepita ktk u turn ya Shekilango kurudi ubungo nimekutana na msululu wa mabasi ya mwendokasi mapya kabisa yakitokea njia ya Mbezi kurudi town.

Hakika mama angu rais samia matunda ya kazi yako nayaona na Mungu akulinde ktk kila hatua yako.
Hamna mabasi mapya, hayo mabasi yametolewa bandarini yalikua na mgogoro na tra, yalizuiwa sababu hayakulipiwa kodi, yalizuiwa bandarini toka 2018...mama labda kaamua kuyaachia bila kodi
 
Hamna mabasi mapya, hayo mabasi yametolewa bandarini yalikua na mgogoro na tra, yalizuiwa sababu hayakulipiwa kodi, yalizuiwa bandarini toka 2018...mama labda kaamua kuyaachia bila kodi
Kwa hiyo sio mapya yalikuwa yanatumika huko bandadini sio?

Sasa kwanini asishukuriwe kwa kazi aliyoifanya kwa miezi 3 ambapo ilimshinda mtu kwa miaka 3.

Ficha ujinga wako
 
Back
Top Bottom