Rais kaamua kuleta mabasi ya mwendokasi mapya kabisa?

Rais kaamua kuleta mabasi ya mwendokasi mapya kabisa?

Mbona ni kama zile za zamani au naangalia kengeza[emoji848]
 
Hivi mnaposema raisi kafanya hili ama lile mna akili?Zile pesa zenu!Sio za raisi
 
Ukianza itumia leo simu ambayo uliinunua 2017 sababu uliiweka kwenye kabati utaiita mpya?
Kwa hyo kama niliiweka kwny kabati ndo inakuwa used? Hv wabongo hua mnatumia kiungo gani kufikiria?[emoji23][emoji23][emoji12] Kwa akili yako ktu kipya ni kile kilichopo dukani tuuuh au sio?

Kama hujui sasa ngoja nkwambie huko madukan kuna vtu vingi sana used. Mfano Iphone refurb kutoka china znawekwa housing mpya,zinavishwa makaratas,zikifika bongo mnaambiwa ni mpya na mnazishobokea
 
Sibishani na wewe , una mentality ya kitaani sio ya intellectual...
Kwa levo yako uko sahihi mkuu, yaishe!
 
hivi wakazi wa kibaha hawana haki ya kupata huduma ya mwendo kasi? maaana hakuna sababu ya kuishia mbezi wakati kibaha ni karibu tu.
ni vyema sasa ruti za mwendo kasi zifike mpaka kibaha maili moja.
barabara iko safi pana njia nane kuanzia kimara mwisho hadi kibaha hivyo mwendo kasi waongeze ruti hadi kibaha ili kuwasaidia wakazi wa kibaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
to be seriously, aliye zuia gari za mwendo kasi kwa sababu ya kutolipiwa kodi, alitamka hadharani kuwa aliviokota vichwa vya treni bandarini na yeye hakuvilipia kodi..

unless hufuatilii
Yule Mzee aendelee tu kupumzika huko aliko maana alitufanya mazwazwa sana. Na mbaya zaidi ukihoji ni vitisho au upotezwe mazima. Ikawa ilimradi liende. Tatizo ambalo mpaka leo linanishangaza, kuna watu ambao wanamuona Magu kuwa alikuwa best President. Na hawataki kama alikosea watu wakosoe na kurekebisha makosa yake.

Mwalimu Nyerere aliwahi kuandika kitabu kinaitwa Tujisahihishe na alikiri yaliyofanikiwa na ambayo pia hayakufanikiwa.Sasa ukija kukutana na Mtu ambae alikuwa anajiona amekamilika kila idara,na wafuasi wake wakaamini hivyo.

Unabaki unajiuliza ni nini kilichowafanya na kinachoendelea kuwafanya wajitoe fahamu? Wamuache Mama nae afanye yake maana huu ni wakati wake, ALUTA CONTINUA
 
hivi wakazi wa kibaha hawana haki ya kupata huduma ya mwendo kasi? maaana hakuna sababu ya kuishia mbezi wakati kibaha ni karibu tu.
ni vyema sasa ruti za mwendo kasi zifike mpaka kibaha maili moja.
barabara iko safi pana njia nane kuanzia kimara mwisho hadi kibaha hivyo mwendo kasi waongeze ruti hadi kibaha ili kuwasaidia wakazi wa kibaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kibaha si mmejengewa barabara ya njia 8
 
Back
Top Bottom